Je, una miaka mingapi na ulishafanya mapenzi na wanawake/wanaume wangapi mpaka sasa?

Mmoja tu,naye ni my wife
 
Aisee mimi nimetimiza 40 nikifikisha 50 naacha kabisaaa...Ila kwenye maisha haya kuna mwanamke mmoja utakutana naye ambaye hutamsahau kati ya wote...Huyo jichukulie uweke ndani.

Hapa utaona uhalisia kuwa wanawake sio wengi kama wanavyodhani kuwa ni mara mbili ya wanaume.

Logic: Kama mwanaume mmoja amechakata kama wanawake 30 au 40 au hata zadi ya watano!....Wanawake hawatutoshi
 
Nimechakata 2015 Nikaja kuchakata tena 2020 japo mimba ya mwaka huu inataka kuharibika maana majirani wameanza maneno maneno kuwa watanishtaki kwa uchakataji ulio kithiri wanadai walisikia miguno na yowe za kuomba misaada kutoka kwa wake zangu wawili. eti watanipeleka mahakama ya kimataifa hahahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…