omba mungu marafiki wa mtu huyo wasije kutapakaa mikoani.. itakuwa mshike mshike...maridhiano yafanyike mapema, ccm isisubiri watu waanze kuuna kwa hasira za kisiasa ndio waje kusema washikane mikono... na ukiangalia huyo jamaa aliliacha basi la abiria lililokuwa kando yake.. conclusion? ana hasira na polisi, sijui walimfanya nini na kuamua kujitoa muhanga...Matukio kama haya yanasaidia kuchangamsha polisi wetu. Au nasema uongo ndugu zangu?
NDIVYO ILIVYO POLISICCM WAACHE WAFE NA WAZIKANE WAO KWA WAO. SIWAPENDIIIIHAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI?
Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia kuwa jeshi la polisi limepoteza umalidadi wote na kufanya kwa kuwakandamiza raia ambao ndio msingi wa wao kuwepo kazini .
Leo katika la mtua hasiyejulikana ameua askari wawili lakini raia waliokuwa wapo katika daladala , bodaboda na wale waliopo katika vituo vyao vya kazi hajaangaika nao , hii imeonyesha hali halisi baina ya imani na polisi imefikia hatua watu wanafuraia askari kuuwawa.
Hii inatafakarisha nini kwa usalama wa taifa letu , je raia wanaweza kuungana na adui katika kukamilisha misheni , kwasababu raia wamewachoka polisi?
Lini bavicha mlikua na imani na polisi?HAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI?
Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia kuwa jeshi la polisi limepoteza umalidadi wote na kufanya kwa kuwakandamiza raia ambao ndio msingi wa wao kuwepo kazini .
Leo katika la mtua hasiyejulikana ameua askari wawili lakini raia waliokuwa wapo katika daladala , bodaboda na wale waliopo katika vituo vyao vya kazi hajaangaika nao , hii imeonyesha hali halisi baina ya imani na polisi imefikia hatua watu wanafuraia askari kuuwawa.
Hii inatafakarisha nini kwa usalama wa taifa letu , je raia wanaweza kuungana na adui katika kukamilisha misheni , kwasababu raia wamewachoka polisi?
Polisi wameuwawa na bado Sirro yupo anadunda tu, si angefanya kama Mwinyi... na hata huyo waziri wa mambo ya ndani bado tu amekalia kiti chake, kazi zao kubwa ni kuwavia wapinzani na kujua namna ya kuzuia mijadara ya katiba na makongamano ya ndani... Polisi IGP na waziri husika si waachie kazi... mbona vinganganizi...IGP ajiuzuru, aende akasaidie kujenga chama chake cha CCM, upolisi hawezi tena aachie professionals ambao hawachukui order za wapumbavu wa CCM
Gaidi wa kweli leo umemsikia kwenye news, sasa muache kunyanyasa wale kina mama wanaoongelea katiba kitu ambacho ni haki yao, hamna tofauti na magaidi nyieLini bavicha mlikua na imani na polisi?
msiwasemee watanzania wengi, jisemeeni nyie kama kikundi cha 'kigaidi'
Kajifunze kiswahili kwanza. Hule ndiyo nini.Hule sio mchezo wa rede hivyo heshimu kazi za watu. Mapigano ya risasi si jambo la kawaida.
HAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI?
Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa Jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia kuwa Jeshi la Polisi limepoteza umalidadi wote na kufanya kwa kuwakandamiza raia ambao ndio msingi wa wao kuwepo kazini .
Leo katika la mtu asiyejulikana ameua askari wawili lakini raia waliokuwa wapo katika daladala , bodaboda na wale waliopo katika vituo vyao vya kazi hajaangaika nao , hii imeonyesha hali halisi baina ya imani na polisi imefikia hatua watu wanafuraia askari kuuawa.
Hii inatafakarisha nini kwa usalama wa taifa letu, je Raia wanaweza kuungana na adui katika kukamilisha misheni, kwasababu raia wamewachoka polisi?
We unaweza kuwadhuru watu ambao hawajakudhuru?Ni kwa nini aliwalenda polisi bila kuwadhuru raia?
We shoga acha kukariri.
Huwezi. Labda uwe na itikadi ya kigaidi. Na yule hakuwa na itikadi ya kigaidi ndio maana kamalizana na waliomdhuru akasepa.We unaweza kuwadhuru watu ambao hawajakudhuru?
Na waliomdhuru hawataki kusema ukweli,wamebaki kulaumu familia na kutoa vitisho,tatizo limo ndani ila wameamua kulificha uvunguniHuwezi. Labda uwe na itikadi ya kigaidi. Na yule hakuwa na itikadi ya kigaidi ndio maana kamalizana na waliomdhuru akasepa.