Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 16,014
- 24,670
- Thread starter
- #21
Kwa hili nakubali mkuu....... Russia, China na India India na sauth Africa ....wanamiliki robo tatu ya population ya dunia .... Marekan awe Makin na Hawa viumbewalikuwa wna piga mkwara mkuu maana hawa usi sahau ni wezi apo Kongo wana pora sana na hapa pia! kupanda kwa thamani kwa pesa ya Urusi ina adhari kubwa sana kwa pesa ya Ulaya na dolla! pesa ya Uchina ina kwenda kutumika vilivyo kuidhofisha dolla! Urusi na mchina ni watu wa hesabu! na linapokuja kuja suala la hesabu kwa mchina huchomoki! ndio mafundi wa hesabu Duniani! Urusi India na China zina weza dhoofisha $ kwa haraka sana maana ndio watumiaji wakubwa wa mafuta kwenye uzalishaji bidhaa Duniani na gasi! mrusi akiwa mzalishaji mafuta na gasi na mbolea na aluminium! Mrusi kashika hatari hagusiki hatari hakwepeki!