Je, Umoja wa Ulaya (EU) walitaka kutikisa mbuyu wakajikuta wanatikisa makalio?

walikuwa wna piga mkwara mkuu maana hawa usi sahau ni wezi apo Kongo wana pora sana na hapa pia! kupanda kwa thamani kwa pesa ya Urusi ina adhari kubwa sana kwa pesa ya Ulaya na dolla! pesa ya Uchina ina kwenda kutumika vilivyo kuidhofisha dolla! Urusi na mchina ni watu wa hesabu! na linapokuja kuja suala la hesabu kwa mchina huchomoki! ndio mafundi wa hesabu Duniani! Urusi India na China zina weza dhoofisha $ kwa haraka sana maana ndio watumiaji wakubwa wa mafuta kwenye uzalishaji bidhaa Duniani na gasi! mrusi akiwa mzalishaji mafuta na gasi na mbolea na aluminium! Mrusi kashika hatari hagusiki hatari hakwepeki!
Kwa hili nakubali mkuu....... Russia, China na India India na sauth Africa ....wanamiliki robo tatu ya population ya dunia .... Marekan awe Makin na Hawa viumbe
 
Ni zamu yetu warusi kupeleka mashambulizi anko kaniambia jana anawazingua tu hatowauzia gesi wala nn mpk wapige magoti waseme kwa pamoja TUMEKOMA KAKA HATUTARUDIA TENA KUKUCHOKOZA TULISAHAU KM WEWE NI BWANA WETU TU SAMEHE!!!!!
Wamesema nisamehe Mimi ,,,, nimekosa Mimi ,,,nisamehe Sana
 
Mm watu niliwaambia ya kwamba nchi za magharibi zilipiga hesabu vibaya kwenye huu mgogoro watu wakakaza vichwa.
Kabisa mkuu ...... kwenye utawala wa Biden .....hili suala limemchafulia CV sana
 
walijua urusi ni Zimbabwe!!! Wanaenda kufanya nn kwa Putin Kama wanayaweza yote !!? uchumi wa dunia umeshikwa na mrusi ,hakuna ubishi. gas,mafuta,mbolea!!!

Wamarekani wa tandale njooni huku,hapa naona mtakuwa mnapita tu.
Hahaha
 
walijua urusi ni Zimbabwe!!! Wanaenda kufanya nn kwa Putin Kama wanayaweza yote !!? uchumi wa dunia umeshikwa na mrusi ,hakuna ubishi. gas,mafuta,mbolea!!!

Wamarekani wa tandale njooni huku,hapa naona mtakuwa mnapita tu.
Walijua wanadili na Taliban
 
Cheers to nato an Eu
Screenshot_20220423-045617.jpg
 
Back
Top Bottom