Je, Umoja wa Ulaya (EU) walitaka kutikisa mbuyu wakajikuta wanatikisa makalio?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,781
24,213
Ikiwa hali ya vita Ukraine vs Urusi inaendelea kupamba moto, kuna mengi yamejiri tangu mchana, Lakini kubwa zaidi ni.

Kwanza ni Ufaransa, Ujerumani, Italia na Mataifa kadhaa Ulaya, yameonesha kustuka na hali ya mambo, Rais Macron wa Ufaransa amesema mataifa ya Ulaya yatakumbana na matokeo halisi ya Moscow muda mchache wa kipindi cha Barafu Barani Ulaya mbapo jaribio la kupuuza gesi ya Urusi ni kama Urusi imetegesha kisu shingoni mwa Ulaya. Wasiwasi ni kuwa Urusi inaweza kutumia kipindi cha hali ya baridi kuiadhibu Ulaya kwa kuinyima gesi.

Italia inakusudia kuweka mpango wa kisheria kwamba miezi ijayo watu wote watalazimika kuweka viwango maalumu vya volume ya mitambo ya gesi isizidi nyuzi 19°C sawa na (66.2°F) kwa lengo la kuhakikisha wanabana matumizi ya gesi kwalengo la kususi gesi toka Urusi. Tofauti na viwango vilivyozoeleka miaka yote katika vipindi vya barafu ambapo volume za mitambo ya joto hufunguliwa hadi kwenye nyuzi 25°C sawa na (77°F).

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema Berlin haitacha kununua mafuta na gesi ya Russia kwakuwa uchumi wa Ujerumani umesimama katika raslimali hiyo ya Urusi na kwa vyovyote vile kupuuza gesi na mafuta ya Urusi ni kuangusha uchumi wa Ujerumani. Shozl anasema kususia mafuta na gesi hakumalizi vita Ukraine, Ujerumani haiko tayari kupoteza jira za wananchi wake na uchumi wa nchi.

Kamisheni ya Umoja wa Ulaya, imekubali kununua gesi na mafuta Moscow kwa Sarafu ya Urusi, Kamisheni hiyo imeruhusu makampuni ya Umoja wa Ulaya yanayoagiza mafuta na gesi Urusi kwenda mjini Moscow kufungua akaunti za banke za sarafu ya Urusi ya Ruble na kuagiza mafuta na gesi.

Uingereza pia imetoa leseni kwa Gazprobank ya Uingereza kufanya manunuzi ya Gesi na mafuta ya Urusi kwa sarafu ya Urusi kwa muda wa hadi mwezi May, Urusi imesema utaratibu ni ule ule haijalishi ni Gazprobank ya Uingereza au ya Ulaya, kinachotakiwa ni kufika Moscow kufungua account ya bank kwa sarafu ya Ruble kisha kununua mafuta kwa bei ya juu inayowahusu maadui wa Urusi. Wale watakaouziwa kwa bei ya chini ni marafiki wa Urusi tu. Urusi imebaini kuwa Uingereza inataka kukwepa vikwazo vya Moscow kwakutaka kuitumia India kupata gesi na mafuta toka Urusi.

Ikulu ya Kremlin itampokea Antonio Guterres Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Hatua hiyo inafuatia kukubaliwa kwa Ombi la Umoja wa Mataifa la kukutana na Rais Putin jana. Koridi za kijasusi zinatafsiri kuwa huo ni ushibdi wa Moscow katika Oparesheni yake nchini Moscow. Taarifa inasema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atazungumza na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Urusi Sergei Lavrov. Katika taarifa ya Moscow haionyeshi kama Guterres atazungumza na Putin, isipokuwa atazungumza na Jenerali Lavrov Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Kremlin.

Vikosi vya Urusi vimezindua makombora ya Calibre kutoka baharini (Black Sea) kulenga shabaha viliko vikosi vya Ukraine katika Oparesheni ya Luhansk, Tayari Mikoa ya Khakyiv na vijiji vyake vya Zolochiv na viunga vingine kumetekwa tayari ambapo shehena ya silaha zimeharibiwa na zingine kukamatwa ambazo nyingi ni za kigeni na inaonyesha kulikuwa na maandalizi ya mamluki kujipanga kushambulia.

Waziri wa Mawasiliano wa Jamhuri ya Donetsk amesema kuwa Mawwsiliano katika jimbo la Mauripol yamrejeshwa bada ya mitambo ya kampuni ya Phoenix kufungwa, na kwamba wiki chache zijazo mawasiliano kamili ya internet na simu yatakuwa sawa kwa asilimia miamoja.

Ubelgiji imeipatia Ukraine Silaha 200 za kuzuia makombora (anti-tank weapons), Bunduki assault rifles 5,000, Tani 3,800 za mafuta kama sehemu ya msaada wake wa kijeshi, Wizara ya ulinzi imesema inaconrol msaada hiyo kuanzia inakotoka hadi inakopita na kufikia.

Jimbo la Crimea litajumuisha rasmi katika Jamhuri ya Urusi wiki ijayo baada ya Oparesheni kubwa ya kijeshi kukamilika, utaratibu utaanza kwa kuunda Crimian Federal District Naibu Mkuu wa Bunge la Urusi la Duma Bwana Dmitry Belik amelieleza shirika la habari la

Swali ni je EU walitaka kutikisa mbuyu wakajikuta wanatikisa buttocks

Source:RIA Novost
View attachment 2197291
 
images (22).jpeg
yani sanctions zao ni kama hivi, mwisho zinawaangusha wao wenyewe
 
Kwa hili hawakupiga hesabu vilivyo mkuu
walikuwa wna piga mkwara mkuu maana hawa usi sahau ni wezi apo Kongo wana pora sana na hapa pia! kupanda kwa thamani kwa pesa ya Urusi ina adhari kubwa sana kwa pesa ya Ulaya na dolla! pesa ya Uchina ina kwenda kutumika vilivyo kuidhofisha dolla! Urusi na mchina ni watu wa hesabu! na linapokuja kuja suala la hesabu kwa mchina huchomoki! ndio mafundi wa hesabu Duniani! Urusi India na China zina weza dhoofisha $ kwa haraka sana maana ndio watumiaji wakubwa wa mafuta kwenye uzalishaji bidhaa Duniani na gasi! mrusi akiwa mzalishaji mafuta na gasi na mbolea na aluminium! Mrusi kashika hatari hagusiki hatari hakwepeki!
 
Wamarekani wa tandahimba sijui wanasemaje salary Slip

Back
Top Bottom