Je, umewahi kusamehe? Just for the sake of experience...!

hakuna amani kubwa nayopata kama ninaposamehe namshukuru Muumba ameniumbia kusamehe kwa kiwango nisichoweza kukipima
 
nimeshawahi kusamehe niliibiwa kiasi kikubwa cha pesa na mtu ninayemfahamu then nikamsamehe baada ya kuja kuomba msamaha
 
kuna ndugu mimi aliniibia nikavunja na undugu
na sio hela nyingi sana,niltaka nijue kiasi chako nilinganishe,nione labda mimi mkatili lol

wewe ni mkatili. Kuna ndugu yangu aliwahi kunifilisi biashara yangu ila sijavunja undugu ingawa kila nikikumbuka roho inaniuma.
 
Back
Top Bottom