Je, umewahi kumnyoa mwenzio nywele za chini?!

Je, umewahi kumnyoa mwenzio nywele za chini?!

Nilikula demu wa jirani yangu, alikuja smart sana nikamuuliza siri ya unyoaji ule akasema boyfriend wake ndo kinyozi!
Tangu hapo nikasema sinyoi vuzi la mtu kamwe. Ummyoe wewe wakale wengine.
Akhakhakha mpita njia siyo!
 
Kuna siku nijaribu kumufyekea demu mmoja msitu wake wa amazon....

Dah!!...kila nikijaribu kumunyoa alikuwa anatekenyeka na kuishia kucheka tu...

Ila papuchi kuiangalia kunahitaji ujasili wa hali ya juu kwa kweli maana si kwa....vile.
Vipi kwani inatishaa?
 
Naona umeamua kuuanika uchafu wa kwenye uchi wa mwenzio..tehteehh
 
Wakuu mimi huwa niko serious kwenye mambo hygene mwenzangu anakauvivu fulani hivi,kipindii cha mwanzo tulipokutana alikuwa na niseme ukwelii hajijali sana.

Mimi nikafikiri ni mila za makabila yao lakini sikiwahi kumuuliza alipojifungua tukawa na shughuli kumkanda na maji ya vuguvugu.

Baada ya kurudi kwenye ulingo ikabidi nimueleze ukweli kuwa hamu huwa inanipungua kwa sababu ya msitu mzito na niko tayari kuufyekeĺea mbali kwa mshangao wangu nikakubaliwa basi nikausafisha woote nikagumdua pia fangasi zinamsumbua tùkaenda marie stopes tukapewa dawa,baada ya hapo imekuwa kawaida yetu

Mara nyingi tukimaliza kunyoana tunaishia kupeana hot sex yaani si kulowana huko maji yanaruka kama mate ya Swiĺa.
Ulikuwa unakosa uhondo, sisi wengine ndio starehe yetu hiyo.
 
Kweni muheshimiwa alitokea puani si hapohapo.
Sawa jamaa unamdhalilisha kwa sababu ukiachilia mbali jamaa kuwa public figure vilevile ni Sheikh mkubwa sasa na huu Uzi wako na viongozi wa dini kweli vinaendana
 
Sawa jamaa unamdhalilisha kwa sababu ukiachilia mbali jamaa kuwa public figure vilevile ni Sheikh mkubwa sasa na huu Uzi wako na viongozi wa dini kweli vinaendana
Je maalim nikiongozi wa kisiasa au ni mufti?...maalim lazima aonekane kuwa ni kiongozi mwenye msimamo wa wastani usimuingingize kwenye msumamo mkali mathalan leo akipendekezwa na kushinda Uraisi na picha yake ikabandikwa kwenye fedha ina maana huwezi kumhoga mwanamke au kumnunulia bia kwa sababu maalim ni Shekhe?mfano mzuri ni Ali Hassan Mwinyi zile noti zenye picha yake mbona tulikuwa tunanywea Konyagi.
 
Kichwa ngumu ngumu kumeza endelea mkuu yangu mm yalikuwa hayo tu
 
Mkuu Ndege soma vizuri chuki za kisiasa ziache huko huko jukwaa la siasa huku hakuna mambo ya vyama wala siasa hii ni sehemu ya kutolea Stress.
Ndio raha ya JF.
huyu bado anahisia hawa ni ke wanagegedana mpaka mimba nndiii[emoji160] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
yanaruka kama mate ya Swiĺa

Aseeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeshawahi kurusha kama swila[emoji12] [emoji216] [emoji216] [emoji126] [emoji126]
 
Samahani lakini jinsia yako please.ni muhimu ukatuambia.sio kwa Nia mbaya
Watu wengine bwana!!!! Hamsomagi thread nzima, mnaanza kusumbua muambiwe jinsia ya mleta mada. Amesema kabia:
".....alipojifungua tukawa na shughuli ya kumkanda."
Bado tu kwa kauli hiyo hujui yeye ni wa jinsia gani kama mwezake alijifungua!?! Unaboa mwana aaaagh!!
 
Asante Sister kwa kumuelewesha
clap.gif
 
Back
Top Bottom