Je, umewahi kujisaidia vichakani?

Je, umewahi kujisaidia vichakani?

Ndiyo,nimewahi na ni raha sana maana upepo kama woteeeee.
Ni moment nzuri.
Mimi ilikuwa kijijini huko nilienda kulima sasa wakazi wa kule wakiwa shambani ni mwendo wa kumaliza haja vichakani
Mara ya kwanza nilihisi aibu sanaaa ila nilikuja zoea na baada ya kuzoea nilikuwa napenda sana kumaliza haja vichakani kuliko chooni .

Huwezi amini hapo kijijini mpaka wasichana nao wanamaliza haja zao vichakani.

Kwahiyo ni mwendo wa kuchimba shimo moja kwa kutumia jembe alafu una chuchumaa kushusha mzigo heavy weight huku ukipunga upepo mwanana sanaaaaaaa.

Maji yako kwenye kopo pembeni ukimaliza wanawa then wasepa kulima.
pia ukiwa kichakan unapunguza uzito sehem tulivu, ule mda malengo yako kimaisha au jambo linalokuumiza kichwa huwa linakuja kichwan automatic ukiwaza vizur unaweza toka hapo na solution.
 
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
Umeshi kishua sana, wakati tupo kijijini unabanwa na kimba, mzee unaingia chaka kuna majani flani hivi unapangusa fresh tu na maisha yanasonga. Jioni mnakutana mtoni mnaoga then mnarudi nyumbani.
Kilosa raha sana mto mkondoa
 
Kipindi naenda tabora natokea mbeya..
Nipo ndani ya SASEBOSA tukafika sehemu kuchimba dawa mi nikashuka kutembea tembea tu maana mi kukojoa kwangu ni asbuh na jioni sana au usiku ..

Kuhusu haja kubwa najipangia lini na mda sahihi sijawahi shikwa ile ya gafula..

Ila Ile siku nashuka nikaenda uande nikakuta wanapiga kelele ""wewe sio huko nenda kwa wenzako kuleee..
Nakuja stuka nakutana na mdada ndi anapandisha ki suruali chake , tukaangaliana tukabki tunacheka tu.

Badae naingia kwa gar nakuta ananiongelea yeye na mwenzake ilikua noma so poa..

Wote tulishuia sikonge.. pale kanisani.. tukawa tunasubri boda hao nikapata na time ya kuongea nae story kama zote....
 
Ulikuwa ukijitia uoga bila sababu mkuu, nyoka anayereact ni yule unayemkanyaga ama mnayekutana naye ghafla zero distance.

Kuchuchumaa kisha nyoka akufuate, jambo hilo haliwezekani, nyoka hukimbia watu.

Mi' ilinitokea tumeenda msibani bush huko, choo ni kimoja kikawa kinatumiwa na kina mama, sisi wanaume tujijue!

Maji ama chakula cha msibani kikaniletea mushkeli tumboni, nikaenda kujiachia vichakani huko, ndipo nilipoenda kujigundua kwamba mi ni mlemavu kabisa!

Shazoea choo cha kukaa kwa miaka mingi natumia, kumbe kilishanilemaza, kuchuchumaa siwezi!

Nikasukumwa kwa lazima kuchuchumaa kutokana na muwasho wa kuhara, miguu ilishindwa kukunjika ili kunibeba sawa sawa, nikajilazimisha tu kwenda chini mzima mzima kama ng'ombe anayezaa, nikawa nimepiga magoti sasa huku nimeishika ardhi kwa mikono miwili nimeshindwa kujibeba!

Nilipomaliza kujisaidia nijitawadheje sasa ni vituko!

Nikatambaa kama mnyama toka kwenye kinyesi nikichukua tahadhari nisijichafue, nikafosi kuchuchumaa kwa nguvu magoti yakawa yananiuma sana.

Nikausogelea mti nikafosi kuukumbatia, dumu la maji poa mkononi ndiyo nikapata balonce ya kuchuchumaa kutawadha.

Nikalifanya zoezi hilo kipumbaf pumbaf ili nimalize chap kwa haraka ninusuru magoti yangu kwa maumivu.

Kwenye kunyanyuka ndo kasheshe nyingine hapo!

Mti nilioukumbatia kuchuchumaa ndiyo nikautumia kama mkongojo kusimamia nd'onikaanza kufunga funga suruali, kwa mkono mmoja, mkono mwingine nimeushikilia mti.

Nikashindwa hata kuchomekea nikavaa tu nyoro nyoro kunusuru miguu yangu na kupoza maumivu!

Baada ya hapo nikawa nawaza, kungelikuwa na 'onlooker' angeliinjoi sana 'seen' hiyo na kubakia na simulizi la maisha!

Baada ya kuugundua ulemavu huo, nikaanza zoezi la chumbani la kuchuchumaa na kunyenyuka mara 15-30 kila siku na kwa sasa nipo naendelea vizuri, improvement inaonekana.
Pole sana.
 
Basii utakua na uzito mkubwa sana we jamaa
 
pia ukiwa kichakan unapunguza uzito sehem tulivu, ule mda malengo yako kimaisha au jambo linalokuumiza kichwa huwa linakuja kichwan automatic ukiwaza vizur unaweza toka hapo na solution.
Sanaaaaa ...kuna feelings fulani huwezi zipata kwenye vyoo vya matofali hivi vya kisasa.
 
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
Ndio,mi ilishatokea,nimeshaanza kushusha,nasikia majani yanatoa sauti shasha shaaa,nageuka kuangalia,zinga la jolka jeusi tii,limenyanyua kichwa,unaambiwa nilitoka nduki,bila kujiswafi wala kuvaa sawa sawa,nikajiswafi mbele kwa mbele,kwa kweli sintosahau,enzi hizo 90's mwishoni 🤭🤣🤣
 
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
Nyoka huwa hamsogelei mtu anayehara. Maana anajua hayo ni maradhi😀
 
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
Khaaaah..
 
Kipindi naenda tabora natokea mbeya..
Nipo ndani ya SASEBOSA tukafika sehemu kuchimba dawa mi nikashuka kutembea tembea tu maana mi kukojoa kwangu ni asbuh na jioni sana au usiku ..

Kuhusu haja kubwa najipangia lini na mda sahihi sijawahi shikwa ile ya gafula..

Ila Ile siku nashuka nikaenda uande nikakuta wanapiga kelele ""wewe sio huko nenda kwa wenzako kuleee..
Nakuja stuka nakutana na mdada ndi anapandisha ki suruali chake , tukaangaliana tukabki tunacheka tu.

Badae naingia kwa gar nakuta ananiongelea yeye na mwenzake ilikua noma so poa..

Wote tulishuia sikonge.. pale kanisani.. tukawa tunasubri boda hao nikapata na time ya kuongea nae story kama zote....
enhee.. Tunasubiri mwendelezo ndugu mwandishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom