Nyeto ya kawaida tu mzee haiwezi kusababisha ila nyeto kupita kiasi mzee lazma isababishe na hii inatokana na vitu vifuatavyo..
Physical Fatigue particularly katika pelvic muscles. kama muscles zingine tu na yenyewe inachoka pia kutokana na kutumika kwa muda mrefu na ndo inaweza kusababisha kushindwa kumaintain erection mzee...
ukipiga sana nyetu lazma upate Hormonal Changes japo.huwa ni temporary hormones changes, kwa sababu itaongeza prolactin hormones, Sasa elevated level ya prolactin inaweza kuinterfere na erectile response.
pia kuna maswala ya Saikolojia mzee mtu akipiga sana nyeto anakuawa na wasiwasi tu ye mwenyewe kama ataiweza show au vipi!
mwisho wa siku wasiwasi na vitu kama hivyo ndo huafanya mwanaume kushindwa kupiga kazi
kuna hii Desensitization hii mzee sio kwa nyeto tu hata wale wa Vumbi la Kongo na viksi inawahusu unapiga master mpaka misuli unakosa hisia kwahyo hata ile hamu hiweI kuipata vizuri..
kuhusu Vyakula nadhani unajua vizuri vyakula vyote vyenye cholesterol na Machips chips nini (wazee weka zege niweekee na mayonaizi halafu mwanaume), na kuna wale wanaume wanAkula kuku wa kfc ,Unakula baga nk
Tukiacha vyote ila SIMBA imeniuma sana Kufungwa 5