Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Nilikua na uwezo wa kupiga mabao kumi ndani ya masaa 12 kwa minyanduo ya instalment ila kwa sasa mabao manne kwa mnyanduo mmoja na fika kwa tabu sana. Nilicho gundua stress na makelele ya mwanamke wangu ndiyo yamenimaliza nguvu
Mkuu Ina maana uliisaliti Ile slogan ya KATAA NDOA....ndoa ni utapeli
 
Mkuu.asidanganye mtu mkuu!!

Kama wewe una hisia na Kila mwanamke coz ni mzuri tu una tatizo kubwa mkuu!

Moyo na nafsi hubagua sana! Na utendaji nao upo hivyo hivyo!!
Cha ajabu Mimi Huwa harufu tu ya aina fulani aliyonayo Dem huniongezea morali kuliko harufu nyingine bila kujali muonekano na shape ya dem mwenyewe!!

Ndio maana una Kuta jamaa kashikwa na dem ambae we unamuona ni normal sana halafu kamkataa Dem unayehisi ni peace!

Mvuto wa kimapenzi ni tofauti na uzuri wa Dem,anaweza kia mzuri lakini Hana mvuto!

Take that!!
Sio kua uchawi unachangia ......unakataaje pisi Kali ....then u date na demu normal
 
Ulikosea ulipoanza maandalizi tangu jana yake.

5G plus huja tu yenyewe wala haiitaji maandalizi, kuna muda mwili unajitoshelezaga wenyewe.

Naweza kupa mfano mimi niliwahi kupiga bao 8 huwezi amini nilikuwa hata sijala chakula chochote kwenye hizo bao 8.

Yaani nilikuwa nimekula chakula cha mchana saa 8 mchana, alafu usiku kama saa mbili hivi demu akawa amenitembelea.

Nilianza show mdogo mdogo mida kama ya saa nne hivi usiku (kumbuka hapo sijala chakula cha usiku) mpaka kesho yake saa tano hivi adhuhuri nikawa nimetimiza bao nane.

Sema sasa kusimama nilishindwa kila nikisimama nilikuwa naanguka tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Daaah ungekufa Mzee[emoji23][emoji23]...kile sio chakula
 
Back
Top Bottom