Je, umewahi kufanyiwa kitu gani cha kushangaza na mpenzi wako alipokuja kulala kwako?

Zero inaonekana utafunga kiwanda chako cha uchakataji muda si mrefu kwakuwa mitambo itakuwa haifanyi kazi tena labda kwa huyo aliechukua boxer pekee.

Akija mteja mwingine wa kuchakatwa mtambo unakuwa mbovu.
 
Dah! Na vile jina lako lilivyo lazima ujione uko vizuri lkn ndo kwisha habari yako
Li boxer limeshikilia hatima ya maisha yako
Tunakutoa uanachama wa ubaharia..
Kesho namfata anirudishie boxer yangu

CC Zero IQ
 
Kuna manzi ilikuja bila barakoa, yaani kidevu kiko empty kabisa ile kufunua dela tu kutumbua hiki hapa

Mzuka wote ukayeyuka, sikujua kama ni kawaida yake au ilinipania tu
uliogopa kufa na ngoma

CC Zero IQ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom