Je, umewahi kufanyiwa kitu gani cha kushangaza na mpenzi wako alipokuja kulala kwako?

Mimi kuna huyu mpenzi wangu jana wakati amekuja kwangu usiku kuna boxer niliivaa wakati nikiwa nae akasema anaipenda na ataondoka nayo kama ukumbusho akiwa kwake.

Tulicheka na nikajua utani, asubuhi wakati anaondoka si akaikusanya na boxer yangu akasepa nayo, aisee kanishangaza sana.

Sasa sijui anaenda kuifanyia nini?

CC Zero IQ
anaenda kuifanyia mahesabu ya kukukalia vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kapenda uchakataji wako...Anaenda kukutengeneza uwe wake tu haha
..Sa Boxer ya mtu anaondoka nayo ya nini? dah ingekua mimi ningekataa bora anune tu make wanasemaga bora nusu shari kuliko shari kamili
 
Mimi alilala dem asubuh nkaacha pesa mezan kama elf 12 na machenji kbaoo ya sarafu

Aliponiletea funguo hakunipa taarfa yyte

Niliporudi nilikuta chumba kimesafishwa...nguo zimefuliwa....na maji nimechotewa

Sambamba na hayo nikakuta hela mpaka zile chenji hazipo.....mafuta ya kupikia sikuyakuta.....na vitunguu na nyanya akachukua(kilichomuokoa ni kuwa alifanya usafi ndan....nkatake easy....japo nlmchana kuwa anipe taarfa akchukua kitu mle ndan)

hao mademu njaa mnawaokotaga wapi?
 
Mimi kuna huyu mpenzi wangu jana wakati amekuja kwangu usiku kuna boxer niliivaa wakati nikiwa nae akasema anaipenda na ataondoka nayo kama ukumbusho akiwa kwake.

Tulicheka na nikajua utani, asubuhi wakati anaondoka si akaikusanya na boxer yangu akasepa nayo, aisee kanishangaza sana.

Sasa sijui anaenda kuifanyia nini?

CC Zero IQ
mimi flana zangu amechukua sana hata zile nazopendaga sana
 
Mimi kuna huyu mpenzi wangu jana wakati amekuja kwangu usiku kuna boxer niliivaa wakati nikiwa nae akasema anaipenda na ataondoka nayo kama ukumbusho akiwa kwake.

Tulicheka na nikajua utani, asubuhi wakati anaondoka si akaikusanya na boxer yangu akasepa nayo, aisee kanishangaza sana.

Sasa sijui anaenda kuifanyia nini?

CC Zero IQ
Kama ilikua haijafuliwa sibiri akakutengeneze akili zikukae sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom