Jamani mi sio deni la kukopa hela!
Kuna jamaa nimependa vyumba vyake vya biashara,kuna wakati nilikua na cash nilivyoenda akawa kashampa mtu.
Tar 1 kanijia kuna frem mtu anatoka tar 16 mwezi huu niiwahi,nikamjibu naitaka ila sina hela kwa sasa,kesho yake nikampa laki2 ya miezi miwili nikaahidi kumalizia laki4 before tar 16.
Jamani huyu mtu ananidai hadi kero!!
Simu mfululizo mara aache ujumbe nyumbani imekua kero.
Leo nimemwambia sina hela aweke tu mtu mwingine anirudishie changu.
Kero imezidi,kha!