Je umesikia habari hii?

Je umesikia habari hii?

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
5,958
Reaction score
2,967
Wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "MBINGUNI ni KIGAMBONI. HOUSE GIRL NI HALALI YAKO ZAANAE.Wababa mnapaswa kuwa na WAKE ZAIDI YA 7, WANAWAKE mlio katika ndoa WAPENI WAUME ZENU HOUSE GIRL WENU na WAUME ZENU WATAWAPENDENI SANA."

Kwa Mujibu wa nabii TITO.
kwa ufafanuzi piga no-:0772958377 anapatikana UDOM-NG'ONG'ONA!
 
huyu jamaa si yule anayehubiri bia ni halali,,,niliona video yake youtube nikashtuka kweli
 
Huyu ni nabii wa hapa Nchini kweli? Anajiita Tito! Bila shaka ana upunguvu mkubwa wa kufikiri! Eti Mwanaume 1 anaweza kuwa na Wake 7 na maisha haya ya Bongo kweli?
 
kuna siku nilikuwa nzega sehemu moja inaitwa nzega motel jamaa tulimchangia kwa kununua vitabu vyake aisee ukisoma utashangaa sana maana yake jamaa anatetea point zake kwa evidence kutoka katika biblia:
 
Mhhh hebu tuwekee sample za hizo vesi na jinsi anavyozitetea kwenye biblia,tuone.
 
Mume mmoja wake sabba, !! basi hapo mume atajikuta naondopka asubuhi kwenda kazini na kurudi nyumbani usiku tuu. Maana akikaa nyumbani gharama za kuwalea wake hao wote ni kali sana.
 
kuna siku nilikuwa nzega sehemu moja inaitwa nzega motel jamaa tulimchangia kwa kununua vitabu vyake aisee ukisoma utashangaa sana maana yake jamaa anatetea point zake kwa evidence kutoka katika biblia:

Huijui tu Biblia, vinginevyo ungeshauona uongo wake! Usije ukawa kama watoto wa Mama mdogo walionyofoa mstari mmoja - tena mstari wenyewe hawausomi mzima - toka kwenye paragraph na wakaanza kuita wenzao wagalatia!
 
sio kwamba natetea upumbafu wa pumbavu kama huyo nabii la hasha ila katika muktadha wa kibiblia nabii huyu wa uongo yuko wrong sana katika vifungu vyake vya biblia naomba nieleweke hivo
 
wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "mbinguni ni kigamboni. House girl ni halali yako zaanae.wababa mnapaswa kuwa na wake zaidi ya 7,
wanawake mlio katika ndoa wapeni waume zenu house girl wenu na waume zenu watawapendeni sana."
kwa mujibu wa
nabii tito.
Kwa ufafanuzi piga no-:0772958377 anapatikana udom-ng'ong'ona!
anapatikana sodoma na gomorrah!?
 
Sound like Natalia srids

wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "mbinguni ni kigamboni. House girl ni halali yako zaanae.wababa mnapaswa kuwa na wake zaidi ya 7,
wanawake mlio katika ndoa wapeni waume zenu house girl wenu na waume zenu watawapendeni sana."
kwa mujibu wa
nabii tito.
Kwa ufafanuzi piga no-:0772958377 anapatikana udom-ng'ong'ona!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "MBINGUNI ni KIGAMBONI. HOUSE GIRL NI HALALI YAKO ZAANAE.Wababa mnapaswa kuwa na WAKE ZAIDI YA 7,
WANAWAKE mlio katika ndoa WAPENI WAUME ZENU HOUSE GIRL WENU na WAUME ZENU WATAWAPENDENI SANA."
Kwa Mujibu wa
nabii TITO.
kwa ufafanuzi piga no-:0772958377 anapatikana UDOM-NG'ONG'ONA!

ngoja kwanza nikanunue kibiriti,nakuja
 
atakuwa ni member wa wale "illuminant" wajitaidio kumpinga kristu na kujifanya wanatoa mwanga kwa waumini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom