Je, umeshasikiliza album mpya ya the Weekend?

Huyo anasikilizwa na washamba kama nyie msiojuua mziki unasema wasikilizaji wengi hata porno zinawatazamaji mabilion
Wewe haujui kuandika mkuu eti msiojuua mkuu min -me Kuna mwanao inabidi apite kwako kupata darasa la somo la kiswahili hapa 😂 😀😃😃😃sasa utamuelewa vipi the weekend
 
Mimi nawaza pesa kiswahili jifunze wewe ukijue zaidi Sina shida ya kukijua kiswahili ujaze karatasi begi Zima Mimi nawaza pesa na kula Bata tu
 
Sawa mwanetu 😀😃😃 we endelea kubeti tu
Yaani Mimi kitu chochote kinachoingiza pesa kihalalu ndio nakiwaza Sina mda wa kujua kiswahili kireno Wala kifaransa hiyo nimewaachia nyie mafukara ndio kazi yenu kutafsiria lugha mabosi
 
Kwa jinsi unavyo ona kati yangu na wewe nani ni masikini😀😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom