Je, umesahau pin, password au pattern ya smartphone yako? Njoo nikufungulie bila uki-flash

Tour1234

Member
Nov 22, 2018
5
1
Kutana na mimi hapa nikusaidie namna ya kufungua simu yako bila kuiflash kama umesahau pin, password, au patten.

Napatikana kwa namba 0756525889. Karibuni, huduma ni bei nafuu.

Kumbuka: Ni smartphone aina zote isipokuwa tu iPhone.
 
Huduma yako unafanyia Online au unayo office kiongozi?
 
Kutana na mimi hapa nikusaidie namna ya kufungua simu yako bila kuiflash kam umesahau pin, password, au patten. Napatikana kwa namba 0756525889. Karibuni, huduma ni bei nafuu.

Kumbuka: ni smartphone aina zote isipokuwa tu iPhone.
Sasa ww badala utuonyeshe namna ya kuondoa unataka nikutafute nitakutafuta vp na wakati huo tayri nimeshasahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iphone unaziogopa....watu tunazifungua tu
iphone mwisho wa maneno, kuna jamaa alitoka nayo Marekani kaniuzia, sijui aliiba huko, huwezi kufanya application yeyote zaidi ya internet tu, noma! Nimepeleka kwa wataalamu wote wa IT wamesarenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom