Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Mwanzoni mwa mwezi wa 8 jeshi la polisi lilitangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu kwa mwaka 2013/14.
Maelekezo yalikuwa wazi kabisa ni watu wa aina gani na wenye proffesionals gan walikiwa wakihitajika! Kwa mujibu wa registra wa mafunzo wa vyuo vya polisi, 90% of applicants hawakukidhi mahitaji!
Jeshi lilihitaji watu wenye taaluma za Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology]. Kwa ngazi ya degree na Utunzaji Kumbukumbu, Katibu Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli, Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement & Supplies], TV na Video Production, Manahodha, Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist]. Kwa ngazi ya diploma, lakini cha kushangaza 90% ya waombaji sio qualified. Wengi wao:
(i) sio proffesionals kwa fani tajwa. Yani fani zao hazikutajwa kwenye tangazo
(ii) sio wahitimu kwa mwaka wa masomo 2013/14. Yani fani zao zilitajwa lakini wao ni wahitimu wa miaka ya nyuma
(iii) hawajakidhi kigezo cha umeri, jeshi lilitaka watu wenye umri kati ya miaka 18-25. Cha ajabu wengi wamefoji vyeti vya kuzaliwa bila kujua kuwa hata secondary school leaving certificates zina tarehe za kuzaliwa ivyo kujikuta tarehe iliyopo kwenye cheti cha kuzaliwa na leaving certficate hazifanani!
(iv) hawajatuma nyaraka zote zilizokuwa zikihitajika yani cheti cha kuzaliwa, vyet vya kumaliza sekondary na vyeti vya matokeo, provisonal reaults za chuo.
Swali la muhimu la kujiuliza wewe uliyeomba, je unakidhi vigezo?