Je, uliwahi kulipia Hotel/Lodge alafu binti hakutokea ukalala mwenyewe?

Kiukweli Mimi hili likinitokea Say kama Nimelipia 100,000/=
Nitakachofanya Nitamtumia Laki moja halafu Nitamwambia mdada Kwaheri!
Nashukuru kwa ukarimu wako!
 
Wewe ni boya huo ujinga wa kulipa lodge kabla ya mtoto ajaja siwezi ata kwa dawa
mkuu ni muhimu kulipa mapema ili ukague mazingira kama kuna hitilafu na uutoe ushamba unaweza ukakutana na vitu vya kisasa alafu ukashindwa kutumia lazima ukague
 
dah na mie ni confess tu nishalipia lodge halafu demu hakutokea ikabidi nirudi geto tu ila inauma nilikuwa sijawai nikawa najiuliza inaumaje dah sikia kwa mwenzio tu
 
2013 Dodoma hyo nilinyatia kidem cha boarding school fulan ndio kamemaliza form six kwao ni Arusha, me ndio nilikuwa chuo Udom.
Demu nkampanga fresh siku hiyo wanaondoka school tuspend then kesho yake asepe, basi nkachukua chumba mida ya saa 10 jion, nampigia simu demu ananiambia yuko kwa mama yake mdogo maeneo ya Kisasa na hawezi kutoka basi nikambembeleza aje tu tusalimiane manzi akaja ila akagoma kabsa kutoa mzigo na hawez kulala maana mama yake mdogo yupo ila akaniahid atakuja kesho asubuh sana atadanganya anaenda Udom kwa rafiki yake, basi mwanaume usiku ule nikaupitisha kibingwa kwa tangu.
nakuja kushitushwa asubuh na simu yupo njian anakuja saa 12 hyo niliruka kama CR7 kascore kusawazisha mechi ya Barca.
Demu kafika saa 1 asubuh kibembe kilianza kweny kula tunda maana demu kumbe alikua bikra nakumbuka kukurukakara zilianza saa saa2 kuja kufanikiwa kuto.mba cha kwanza ilikuwa sijui saa 6 kwa ugwadu nilikuwa nao niliunganisha bao la pili kwa mbinde yaan ilikuwa mithili ya ligi UCL, hyo ilikuwa saa 9 alasiri. Nashukuru nilifanikiwa kuitoa SEAL mpka leo ndio shemeji yenu mtarajiwa.
Nazn Sasa mnawatoto wa 4
 
Hahaah humu kunachekesha sana, Juzi tu hapa nilikuwa Mtwara pale, nikachukua room dem hajatokea, nikampandia mhudumu akasema kuna Camera kila sehemu hivyo ataonekana, nikamshawishi kwa saana akasema niache mlango wazi atazima umeme ikifika 7, hehehe demu si kaja mwana napapasa papasa demu lina vipele mwili mzima, stimu zikakata kabisa dadek nikaliambia katuwashie umeme tulale 😀😀
 
Hahaah humu kunachekesha sana, Juzi tu hapa nilikuwa Mtwara pale, nikachukua room dem hajatokea, nikampandia mhudumu akasema kuna Camera kila sehemu hivyo ataonekana, nikamshawishi kwa saana akasema niache mlango wazi atazima umeme ikifika 7, hehehe demu si kaja mwana napapasa papasa demu lina vipele mwili mzima, stimu zikakata kabisa dadek nikaliambia katuwashie umeme tulale
Asee watu mna vtuko
 
Hahaah humu kunachekesha sana, Juzi tu hapa nilikuwa Mtwara pale, nikachukua room dem hajatokea, nikampandia mhudumu akasema kuna Camera kila sehemu hivyo ataonekana, nikamshawishi kwa saana akasema niache mlango wazi atazima umeme ikifika 7, hehehe demu si kaja mwana napapasa papasa demu lina vipele mwili mzima, stimu zikakata kabisa dadek nikaliambia katuwashie umeme tulale 😀😀
Hapo mtwara umenikumbusha mwaka fulani nilifikia pale nafu lodge ya karibu na stendi. Basi bwana usiku nikaona abdala kichwawazi anasumbua nikachonga na mtu wa mapokezi akasema ataniunga na dada mmoja mpishi wa hapo nikasema poa. Dada mpishi akapigiwa simu huko alikokuwa akasema atakuja. Kama saa 4-5 hivi mlango ukagongwa akaingia mdada nikajua ndoyeye. Kufika tu bidada ananiambia ana njaa anaomba hela aende kitaa akatafute msosi kwanza. Nilivompa ela sikumuona tena. Nikakumbuka ndomaana kuna watu wanaamua kuwapiga sana au hata kuwaua kabisa hawa watu maana sometimes wanazingua balaa.
 
Usiwahamini ma-bar maid hata siku moja. Michosho tu hao.
Kamwe usikubali baamedi akutangulize chumbani eti yeye atakuja. uwa wana wateja kibao na wengne wamempa ofa kubwa zaidi yako. Akiahidi kukupa uchy wew baki nae apo au mlipie utoke nae.
 
Hahaah humu kunachekesha sana, Juzi tu hapa nilikuwa Mtwara pale, nikachukua room dem hajatokea, nikampandia mhudumu akasema kuna Camera kila sehemu hivyo ataonekana, nikamshawishi kwa saana akasema niache mlango wazi atazima umeme ikifika 7, hehehe demu si kaja mwana napapasa papasa demu lina vipele mwili mzima, stimu zikakata kabisa dadek nikaliambia katuwashie umeme tulale
 
Nakumbuka nimewahi kulala Hotel/lodge mara kibao baada ya kupeana ahadi na mrembo kisha hakutokea. Zipo nyingi ila mbili tu ndio sijawahi kuzisahau maana kipindi hicho sikua na hela, nilikua mwanafunzi, sina mkopo, hela ya kula lazima nimpige sister mzinga anitumie au brother.

Ilikua kinondoni maeneo ya vijana, nimeahidiana na mrembo mmoja mkali kinoma anaitwa Jesca, mtoto amebarikiwa kila idara, wengine wameumbwa ila Jesca amebarikiwa, haleluyah!

Nikajikakamua sister alikua kanitumia laki 2, nikalipia hotel moja iko hapo kona ya mwananyamala, alafu Jesca hakutokea, iliniuma sana ingawa kesho yake alikuja na kujitetea kua sister yake alipata dharula hvyo akashndwa kumuacha mtoto, ikabidi nichukue pesa nyingine nilipe tena, nikabakia na elfu 10 mfukoni, wiki 2 zilizofuata nilikua naenda chuo kwa miguu, kula kwa kugongea, ilikua tabu ila hakuna namna, kwangu K ni ya thaman kuliko chochote.

Nyingine ilikua na ahadi na mtoto mmoja alikua anasoma Udom, mtoto matawi ya juu siwezi kumlaza gest mbavu za mbwa, nikalipia Landmark hotel, bro alikua kanipa elfu 70 za matumizi wiki nzima, zote nikalipa Landmark hotel alafu Monie hakutokea iliniuma sana, alikosa nafasi maana baba yake ni mkali kama simba, alitaka kudanganya anaenda kwa rafiki yake anasoma Muhas, mzee akatoa nje, ikanibidi nilale mwenyewe Landmark alafu wiki iliyofuata najua mwenyewe niliishije.

Je wewe umewahi kulipia hotel au gest halafu mtoto hakutokea ukalala mwenyewe?
Daaah imenikuta hii mtoto akasema anakuja afu hakuja na hapo nimetoka tabora hadi shinyanga kwaajili yake

Na siku nyingne kwa azizi ally pale nimeripia room full ac afu mtoto akazingua
 
Back
Top Bottom