Je, ulitumia uongo gani kumpata demu?

janamke fulani hivi shankupe lililoshindikana! nikaona hili bili itifaki za mzee faki silipati! halahala kama kikaangio cha chapati..

nilivyomshenzi wa tabia baada yakupata namba yake nikaanza kujisifu kuwa mimi ni fundi chupi!, mwanaume hasidi niliefundwa kwenye unyago wakinyamwezi! sio tu kwamba ni mbobezi wakukobea bali pia ni fundi wakuchelewesha!..
kama ni mpira basi mimi ni namba ile chafu ambayo ushindi lazima upatikane kwangu!,nikajitapa kuwa mimi ndie msubiriaji nisiekojoa kabla hajakojoa!..
si akadata siku yatukio ilikuwa ni tako tatu wazungu chwaa!.. shangingi hana shipa la siri siitwi tena fundi wakuchelewesha bali fundi chwaa!
Nimecheka hadi nimeugua kikohozi :D
 
😂😂😂
 
mkuu nina madem hadi wa kiarabu wanasumbuka na marejesho ya kila siku
ukijichanganya tu unafilisika, unakufa na ngoma, unakamatwa ugoni yani fujo ni nyingi
Za kihindi pale lake schools mwanza mpk nilichoka kisa viakili vya masomo ya biashara. Na nilivyoondoka nchini mpk leo wanajua nina maisha kumbe nateseka mbaya na elimu hii isokuwa na connection.
 
Mwaka fulani hivi nilienda Songea nikawa nimefata huduma yangu ofisi za mkuu wa wilaya baada ya mazungumzo marefu na DC nikawa natoka njee ili niondoke wakati natoka kwenye viunga hivo nikamuona binti mzuri haswaaa anapita.
Akili ikaja huyu inabidi nimlambe nikamuita bahat nzuri akaja nikamuuliza unaenda ofisi gani akanielekeza baada ya kunielekeza ofisi ile nikajua pale kazi zao wanafanya bure wala hawaihitaji pesa ila ukikaa kindezi wanakupiga nikamwambia nenda pale ofisini wambie DC kasema mnisaidie ikishindikana nipigie wambie ww ni ndugu yangu na unaishi Kwangu
Bahat nzuri nilijua ratiba ya DC mda huo alikuwa anatoka kwenda kwenye mradi fulani
Bhas nikampa no nikaondoka baada ya dk chache no mpya ikapiga nipo zangu kwenye boda nikamtumia sms "tuma sms" baadae akatuma sms ndefu ya kunishukuru maana aliyokuwa ameambiwa mwanzo itamtoka si chini ya laki ila kwa amri yangu kafanyiwa bure sikumjibu mpaka jioni nikamuomba tukutane tupate japo soda kama anaweza akasema sawa ngoja angalie
Kwenye saa moja hivi jioni akapiga sikupokea nikamtafuta saa mbili uck akasema nilijiandaa ukawa hupokei nikamwambia sorry majukumu kidogo yalibana akauliza tunakutana wapi ikabidi nicheze kama Pele nikamwambia kwa hadhi yangu na cheo changu nikionekana maeneo ya wazi na ww itakuchafulia saana ww pia mm maana Chadema watatumia kama njia ya kunipasua kisiasa nikamuomba kama hatojali nitafute lodge au hotel njee ya mji tuongelee humo akasema sawa
nikaenda lodge niliyofikia nikatoa vitu vyangu nikahamishia mapokezi nikampanga nenda lodge fulani chumba no nne mm nikakaa njee ili nione kama ni mtego wa PCCB niwahi kuchimba nimekaa pale nikamuona anaingia nikamuomba anisubir ntakuja nimeingia saa sita usiku akawa ameshalala kulikuwa hamna story tena ni kunyanduana mwanzo mwisho na niliendelee mara kwa mara alivyorudi chuo dsm nikamwambia mm nishatumbuliwa nikiwa nampeleka lodge Tu za buku 10
Samahanini kwa mwandiko mbaya
 
Wakati nafanya kazi kwenye ofisi za mikopo jina la MENEJA lilinipq mademu bila kuongea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom