Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,408
- 6,234
hahahahahahahaha
Noma sana!mkuu nina madem hadi wa kiarabu wanasumbuka na marejesho ya kila siku
ukijichanganya tu unafilisika, unakufa na ngoma, unakamatwa ugoni yani fujo ni nyingi
Sawa bossMbwa ww nishakujua![]()
Ilikuwaje man?Njemba nilisema mimi senior na miaka sate samthing hivi ili nimpate byurifoo ambae alisema hadate na watoto wadogo
Kufika kwenye mkutano wa kwanza kumbe tulikutana wote mawinga wa kariakoo nayeye kanichapa kamba 28 kumbe simba jike anakimbiza 35 au 37 hivi
Nikataka nicash out mkeka nashangaa mama ndo ameshaelewa mazima na mimi ndo nataka kutoroka
Alooo hakuna kitu kigumu kama kumtoroka mtu mzima![]()
Bila uongo hauliwe fala kama hisia zangu ziko sawa basi nimekujua hahahahah!
nimefanyaje...Ila kaka Kenzy![]()
Hamna kitu fundi chwaanimefanyaje...
nikome..😀Hamna kitu fundi chwaa
unamaneno kama hilo janamke shankupe hasidi...!Kama komeo uongo😂😂
Sawaa
Hapa ulitisha mzee babaNjemba nilisema mimi senior na miaka sate samthing hivi ili nimpate byurifoo ambae alisema hadate na watoto wadogo
Kufika kwenye mkutano wa kwanza kumbe tulikutana wote mawinga wa kariakoo nayeye kanichapa kamba 28 kumbe simba jike anakimbiza 35 au 37 hivi
Nikataka nicash out mkeka nashangaa mama ndo ameshaelewa mazima na mimi ndo nataka kutoroka
Alooo hakuna kitu kigumu kama kumtoroka mtu mzima 😁😁😁
Ah mzeeIlikuwaje man?
🤣🤣🤣🤣kama ndo mimi🤣unamaneno kama hilo janamke shankupe hasidi...!
kama vile...😅🤣🤣🤣🤣kama ndo mimi🤣
Hahahahahaha we nomaNjemba nilisema mimi senior na miaka sate samthing hivi ili nimpate byurifoo ambae alisema hadate na watoto wadogo
Kufika kwenye mkutano wa kwanza kumbe tulikutana wote mawinga wa kariakoo nayeye kanichapa kamba 28 kumbe simba jike anakimbiza 35 au 37 hivi
Nikataka nicash out mkeka nashangaa mama ndo ameshaelewa mazima na mimi ndo nataka kutoroka
Alooo hakuna kitu kigumu kama kumtoroka mtu mzima![]()
Ishukuru sana udsm mkuuAhahahaha mke wangu Mama Joan nakumbuka nilitoka dar chuo DIT nikaenda mkoani kwetu kwa ajili ya mafunzo kwa njia ya vitendo wengine wanaita field basi na nikafika kijijini kwetu nikaambiwa kuna mwalimu wa field shule yetu ya kata anasumbua sana wana washapambana ila haeleweki, hiyo kazi ikabidi nipewe mimi basi mjuba nikaingia pale nikampiga swaga ooh naitwa flani chuo kikuu cha Dar niko mwaka wa pili civil engineering degree kumbe ni ordinary diplomayeye alikuwa mwaka wa kwanza education ....plus na ubrazamen mtoto akajaa mazima mpaka wa leo.....
Dah kwahiyo mlikutana ngangari woteNjemba nilisema mimi senior na miaka sate samthing hivi ili nimpate byurifoo ambae alisema hadate na watoto wadogo
Kufika kwenye mkutano wa kwanza kumbe tulikutana wote mawinga wa kariakoo nayeye kanichapa kamba 28 kumbe simba jike anakimbiza 35 au 37 hivi
Nikataka nicash out mkeka nashangaa mama ndo ameshaelewa mazima na mimi ndo nataka kutoroka
Alooo hakuna kitu kigumu kama kumtoroka mtu mzima![]()
StakiIshukuru sana udsm mkuu