Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 2,159
- 3,421
Ukitaka salam nenda Baraza la kata kalalamike waje wanikamate.
Kuhusu muandiko m sio mwalimu bhana.
Huu uzi ni kwaajili ya kuelezana uongo ulioutumia kumpata demu.
Mi naanza nilimdanganya kua mimi ni mnunuzi wa madini, akajaa akajua anakuja kuchota hela kumbe wapi sina kila kitu.
Baadae amekuja kuujua ukweli akabaki kucheka tu, ila tuliachana kila mtu akatafta njia yake.
Karibuni sana.