LAWRENCE SIMION
Member
- Jul 27, 2019
- 20
- 15
Binafsi bado. Ila Mimi Mwanamke Nampa chaguo la mwisho kabisa katika maisha yangu.Je, tangu uanze mapenzi ulishawahi kuwa na mtu ambaye ulimpenda kwa moyo wako wote hadi ukawa kipofu kwa yote mabaya uliyoyaona kwake, ukawa kiziwi kwa yote mabaya uliyoyasikia kwake lakini mwishowe huyo mtu akaja akakuacha. Je, ulikuwa katika hali gani ulipoachwa, na je ilikuchukua muda gani kumsahau huyo mtu?View attachment 1167135
Dooh pole sanaDini imetutenganisha na sijapona bado ila inshallah atakuja aliye wakwangu.
ThanksDooh pole sana
Mtafutee myamalizeMm kuna demu mpaka Leo nampenda ingawa tuliachana katika mazingira ambayo hali yangu ya kiuchumi iliyumba halafu alikuwa demu muelewa Ila alikuwa na tamaa ya pesa kwa upande mwingine so kama kucheat alikuwa anacheat mpaka kuna kipindi nilijua coz tulitengana kwa muda but hata mm mwenyewe nilikuwa na mcheat coz mnaweza mkakaa hata mwaka msionane. But all in all ni demu ambaye nilikuwa nampenda na alikuwa ananipa raha kweli kwenye 6 × 6 so ni MTU ambaye ni unforgetable katika mind yangu labda aje atokee kama yeye tena.
Namuona kila uchwaoUnachokisema nimeshawahi pitia,,,pole Sana najua maumivu yake.
Tena hayo maumivu hayaish Kama upo jirani naye!!!
Pole sanaaaaa
[emoji38][emoji38][emoji38] say it again
Kama wote mlikoseana,mngemaliza tu tofauti zenu.
pole mkuu,,mm nishamsahagi kitambo japo yy ndo ananisumbua,,ila kinachoniumizaga na kujiona fala ni gharama zangu nilizoteketeza kipindi niko nae,,,eti saivi kumamake anakuja kusema fadhila zangu ndo zinamfanya anikumbuke daima,,,,kumamake afulie huko ndio akumbuke fadhila zangu leo???.....akafie mbele huko,,,mm bado nina machungu ya mpunga wanguNimetumia almost mwaka ila bado naumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ni UPUMBAVU sio kupenda.
Yani uwe kiziwi, kipofu na mjinga sababu ya mapenzi.??
SMS moja tu asipo jubu. Akafie mbele
Me huu mwaka wa6 mkuu tunaachana na kurudiana kipindi chote ichoNimetumia almost mwaka ila bado naumia