Je, ulishawahi penda hivi?

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
609
Je, tangu uanze mapenzi ulishawahi kuwa na mtu ambaye ulimpenda kwa moyo wako wote hadi ukawa kipofu kwa yote mabaya uliyoyaona kwake, ukawa kiziwi kwa yote mabaya uliyoyasikia kwake lakini mwishowe huyo mtu akaja akakuacha. Je, ulikuwa katika hali gani ulipoachwa, na je ilikuchukua muda gani kumsahau huyo mtu?
 
Bado mkuu sijafikiaga ujinga kama huo labda uko mbeleni.
 
Sikikiliza ww mtoa maada. Jua kutofautisha kati ya love na upuuzi mwingine. Love is not blind, it has a 20/20 vision.
 
Sikikiliza ww mtoa maada. Jua kutofautisha kati ya love na upuuzi mwingine. Love is not blind, it has a 20/20 vision.
Watu wametofautiana,huo ni mtazamo wako.
 
Tayari ajali hukuuuuuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…