Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

Mi najilaumu sana aisee. Nilianza mwenyewe nikiwa secondary nilichuma bangi sehem fulani ikiwa imejiotea yenyewe nikaenda kuikausha halafu next day nikaiweka kwenye karatasi nikafanya mambo. Nilisikia njaa kinoma siku hiyo.

Mpaka na leo bado natumia hichi kitu na sijui kama ntaacha maana naona stress za maisha bado mingi na bangi is my loyal best friend. Kwanini niache?
 
Ganja sijawahi tumia ila kutokana na maelezo ya wadau waliotumia na wanaotumia eti huo Mzuka wake ni zaidi ya maelezo full kujisikia raha full kuwa na confidence....mhmhmh tatizo ganja ikikupenda banahhh
 
Fungukeni
e92c748dcb9fd1869e4e2b70f9fdb426.jpg
c35b5677f62024ae2779381b030fd399.jpg
 
Mi najilaumu sana aisee. Nilianza mwenyewe nikiwa secondary nilichuma bangi sehem fulani ikiwa imejiotea yenyewe nikaenda kuikausha halafu next day nikaiweka kwenye karatasi nikafanya mambo. Nilisikia njaa kinoma siku hiyo.

Mpaka na leo bado natumia hichi kitu na sijui kama ntaacha maana naona stress za maisha bado mingi na bangi is my loyal best friend. Kwanini niache?
sasa unajilaumu nini wakati ndio mfariji wako
 
Kuna jamaa ilimpa uchizi kihangaiko mwaka fulani mkesha,mahovyohovyo,ganja wiki ya 3 kichaa kilimpanda
 
Naliona mbingu zikifunguka na malaika wakashuka na kunichukua kuelekea kiti cha enzi ambapo nilikaribishwa na makerubi na maserafi ile nataka kumuangalia Mungu ambaye alikuwa haonekani kutokana na mwanga mkali mithili ya miale ya jua uliokuwa unaangaza ghafla nikastushwa na mbata la afande mgongoni kumbe nilikuwa nimesizi maskani.. itaendelea
 
Kama inayafanya maisha kuwa marahisi na kuonekana kwa mwanga ulio bora, usiache boss. Komaa nayo hadi kieleweke. Ongeza msokoto mmoja kwa bill yako mwenyewe
Mi najilaumu sana aisee. Nilianza mwenyewe nikiwa secondary nilichuma bangi sehem fulani ikiwa imejiotea yenyewe nikaenda kuikausha halafu next day nikaiweka kwenye karatasi nikafanya mambo. Nilisikia njaa kinoma siku hiyo.

Mpaka na leo bado natumia hichi kitu na sijui kama ntaacha maana naona stress za maisha bado mingi na bangi is my loyal best friend. Kwanini niache?
 
Niliwahi kuletewa mochwari na wavuta bangi mlevi aliyezima kwa viroba wakisema eti ni maiti wameiokota
Nisingekuwa mweledi ningemtia kwenye jokofu lakini nikasema ngoja nimfundishe kuacha pombe, nikamuweka chini sakafuni penye baridi sana na maiti ambazo bado nilikuwa sijaziingiza kwenye jokofu
baada ya kama nusu saa akazinduka...
Kuangalia kazungukwa na mizoga kuangalia mbele nipo mimi na koti jeupe akajijua tayari....nikimuona ananyanyua mdomo apige kelele huku macho yamemtoka pima lakini alishindwa....alikuja kuzindukia wodini
 
Ganja bana,
Me siku nimevuta kila nikikaa naskia naitwa jina nikigeuka hamna mtu cha ajabu kila nnaekutana nae namfananisha na mtu namjua nikimuangalia vzr sio yy.daahh ilinitesa nikaamua nikalale nikajiona nimekufa afu jeneza lina bonge la msalaba nikajua leo kiama changu mslamu nazikwa na jeneza lenye msalaba mkubwa km ule wa jengo la kkkt!
 
Mkuu ushawahi kufanya kazi mortuary? Uuuuwiiiii.......
 
Niliwahi kuletewa mochwari na wavuta bangi mlevi aliyezima kwa viroba wakisema eti ni maiti wameiokota
Nisingekuwa mweledi ningemtia kwenye jokofu lakini nikasema ngoja nimfundishe kuacha pombe, nikamuweka chini sakafuni penye baridi sana na maiti ambazo bado nilikuwa sijaziingiza kwenye jokofu
baada ya kama nusu saa akazinduka...
Kuangalia kazungukwa na mizoga kuangalia mbele nipo mimi na koti jeupe akajijua tayari....nikimuona ananyanyua mdomo apige kelele huku macho yamemtoka pima lakini alishindwa....alikuja kuzindukia wodini

Mkuu kumbe ushafanya kaz mochorwi
 
Hii ilimtokea kaka yangu, ukoo wetu bangi ni mwiko. Sasa bro ana wadau wake ambao wao wanapuliza, siku iyo mida ya jioni akaenda bana kwa wadau, kwa mujibu ya wadau ni kwamba alipuliza kama vile yeye ndiye expert. Baada ya kumaliza msokoto jamaa alitoka baru kule walikokua wanavutia akaenda direct kwa mstimu wa umeme, aisee aliuzunguka ule mstimu takriban 2hrs, yaliyoendelea pale si mchezo.....
 
Back
Top Bottom