Je, ukweli uko wapi hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ukweli uko wapi hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Outlier, Jan 23, 2009.

 1. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Suala hili limekuwa likiongelewa katika forums mbalimbali, nalileta kwenu kwa majadiliano ya kina kwa sababu ni suala muhimu sana na linahusiana moja kwa moja na ustawi na maendeleo ya nchi yetu na watu wake.
   
 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Outlier, hii mada ni nzito hasa unapoihusisha na mambo ya kishetani. Tukiangalia swala la uzazi wa mpango. Sina data wala mimi sio Dr. ila nilishawahi ambiwa zamani mwanamke anae nyonyesha alikuwa hawezi shika mimba mpaka aache kunyonyesha, lakini sasa ninauhakika mwanamke hata anyonyeshe vipi mimba inaingia bila wasiwasi. Hivyo kama ni kweli waliotutangulia kunyonyesha ilikuwa ni kinga dhidi ya mkimba then tutakubali kunamabadiliko makubwa yanaendelea sio ulimwenguni tu bali hata kimwili. Na kama mambo ndio yapo hivi nadhani swala la uzazi wa mpango haliepukiki iwe ni kutumia vidonge au vinginevyo kwani kuabstain sex during danger days ni ngumu kwa watu waliojihalalishia sex act. Isitoshe inasemekana ndio siku ambazo ladies wanakuwa more excited.

  Kuhusu swala la kondom, pia nadhani lengu la awali lilikuwa ni uzazi wa mpango na baadae baada ya ligwasuma 'ukimwi' kuanza kuleta fujo ikaonekana pia ni suruhu ya kupunguza maambukizi. Kwa namna hii nadhani personally nakubaliana nazo ziendele tumika. Ukiliangalia kiimani si mahali pake kabisa maana imani inazuia ngono inje ya ndoa jambo ambolo tukubali tukatae compliance is very marginal Mungu atusamehe kwa hili. Maana si kwa wanandoa tuu watoto wa primary na O'level hapa ni hatari sasa ukisema imani inakata matumizi ya kondom na vidonge vya majira basi jua kasi ya mimba za utotoni itakwenda juu sana sanjari na maambukizi ya VVU kwa new generation.

  outlier, laiti compliance kwenye maandiko ya Mungu especially swala la ngono ingekuwa japo 60% basi tungeweza sema kondomu na vidonge vya majiri ni vyakishetani. Lakini kwa sasa tunavihitaji sana kwa maendeleo ya taifa otherwise impact zake ni kubwa mkulu.

  Nawakilisha
   
Loading...