Je uko tayari kuoa au kuolewa na freemason?

Je uko tayari kuoa au kuolewa na freemason?

Billie,
Mkuu,
Samahani, naomba nijbu hili swali kama umewahi kuwa na majibu yake.

Je, Fmason wanaweza wakamlazimisha mtu kuingia au ni free will of someone to join or not to!?

Shukuran mno mno kwa majibu.
Wale wanashawishi watu kujiunga wenye trend kuwa na umaarufu na pesa ili kuifanya jamii yao iwe na nguvu duniani ni sawa R.C kuwa na jumuiya ya kisali nyumba kwa nyumba kuboost expansion ya dhehebu na hapo hapo kuongeza michango na waumini.
 
Shukuran mno mno kwa majibu mubashara kabisa.

Je. Wanakushawishi waziwazi kuwa wao ni fmason wanataka uwe nao au wanatumia janja ya projects na uongozi wao mwisho unaingizwa indirectly?

Je, ukikataa pana side effects zozote zile utapata baada ya kukataa ushawishi au maombi yao ya kutaka ujiunge nao!?
 
What the hell is this shit freemason ?? We became what we think
 
Back
Top Bottom