Je ukitaka kurudi nyumbani kwa mkeo/ mchumba wako huwa unampa APPOINTMENT

Duuhh kwa demu mpe Taarifa.


Kwa mkeo ulimuoa,iwe ni kwako au kwake, nenda bila Taarifa.

Na Umzoeshe kiasi kwamba ajuege "Jamaa hatabiriki".



Kumpa Taarifa mkeo, ni dalili ya udhaifu.
 
Back
Top Bottom