ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 947
- 547
umetoka matembezi ukiwa barabarani unakuta iphone 6 katikati ya kinyesi cha binaadam je utaichukuwa au utaona kinyaa na kuiacha?
Great thinker at work. I love you Tanzaniaumetoka matembezi ukiwa barabarani unakuta iphone 6 katikati ya kinyesi cha binaadam je utaichukuwa au utaona kinyaa na kuiacha?
Everybody love Tanzania even he/she is no TanzanianGreat thinker at work. I love you Tanzania
Hahahaha sawa bossUnatakiwa ukumbuke kwamba Hata babu naye alikuwa kijana.
Kwahiyo hata kinyesi nacho kilikuwa mahanjumati plus mapoko poko manjali....
Kwahiyo swali lako unatakiwa uulize
endapo utakuta iPhone 6+ kwenye pilau au viepe vya zamani, utaiacha?