Je uke wa mwanamke upo wapi? kwenye maumbile au sura? na uume wa mwanaume?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Naweza nikaeleweka vibaya lkn sio nia yangu bandugu, swali langu ni kuhusu maneno haya mawili, mwanamke na mwanaume, hivi uke na ume uko wapi? Sura ndo hutambulisha vyote hivyo au Maumbile? Nitafafanua kama ikihitajika hivyo....
 
Viko katikati ya miguu!!!

Kama nimekosea jibu basi maelezo yako hayajitoshelezi....anza upya maana nahisi utakua ulitaka kumaanisha uanaume na uanamke!!
 
mmhhh Magulumangu
Hivi kweli hujui Uke na ume
uko wapi?? au ni unanitafuta
uchokozi tu hahahahahahah lol

kujibu hapo kwenye green
siku hizi kuna watu wanajibadilisha
kuwa wanaume na wengine kuwa wake
sasa sura mmmhhh hapana nimeitoa
( Homosexual )

Maumbilile na hii pia dahhhh
hivi nadhani umewahi ona au
sikia watu wanaobadilisha
gender, maumbile na vinginevyo
( Transsexual )
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume? Ukilijuwa hilo utajuwa tofauti iko wapi.
 
Uume wa mwanaume na uke wa mwanamke uko wapi?
a) Kimaumbile
b) Kitabia/kimaadili (kimwenendo)

Kauliza hivi, "Uume wa mwanaume uko wapi na uke wa mwanamke uko wapi?"
Acha na mimi niulize, Je kuna;
1) Uume wa mwanamke?
2) Uke wa mwanaume?
Kimaumbile hakuna ila kisifa upo, ndo maana mimi nikahisi amekusudia hiyo (b).
Hivyo nilivyomfahamu mtoa mada hakukusudia uke na uume ulipo kimaumbile bali ki sifa/mwenendo kutokana na asili ya jinsia zetu.
 
Viko katikati ya miguu!!!

Kama nimekosea jibu basi maelezo yako hayajitoshelezi....anza upya maana nahisi utakua ulitaka kumaanisha uanaume na uanamke!!

here we go da Lizzy...haha una mawazo ya the between the legs tu...je na kama mtu ana vyote viwili? halafu katikati ya miguu mbona kuna canal tu jamani? Mstari unaotenganisha upande mmoja wa mtu na mwingine?
 
mmhhh Magulumangu
Hivi kweli hujui Uke na ume
uko wapi?? au ni unanitafuta
uchokozi tu hahahahahahah lol

kujibu hapo kwenye green
siku hizi kuna watu wanajibadilisha
kuwa wanaume na wengine kuwa wake
sasa sura mmmhhh hapana nimeitoa
( Homosexual )

Maumbilile na hii pia dahhhh
hivi nadhani umewahi ona au
sikia watu wanaobadilisha
gender, maumbile na vinginevyo
( Transsexual )

Afrodenzi, you close na mie navyofikiria, kuna hivi vitu vingine vinaitwa TABIA, utasikia wewe unatabia za KIKE lkn sijasikia mwanamke anamwambia mwanamke mwenzake una tabia za KIUME, so hapo ni wanaume tu huweza kubadilika? na mwenye maumbile yote mawili aaitwaje? we look at the dominant one ait? kama ana maumbo ya kimiss na ngozi then sura ya kimen? UKE AU UUME Wake utakuwa wapi?
 
Naweza nikaeleweka vibaya lkn sio nia yangu bandugu, swali langu ni kuhusu maneno haya mawili, mwanamke na mwanaume, hivi uke na ume uko wapi? Sura ndo hutambulisha vyote hivyo au Maumbile? Nitafafanua kama ikihitajika hivyo....

kama una dada aliejifungua mmulizzie kama alijifungulia kwenye sura yake alafu utapata jibu.....
 
Uume wa mwanaume na uke wa mwanamke uko wapi?
a) Kimaumbile
b) Kitabia/kimaadili (kimwenendo)

Kauliza hivi, "Uume wa mwanaume uko wapi na uke wa mwanamke uko wapi?"
Acha na mimi niulize, Je kuna;
1) Uume wa mwanamke?
2) Uke wa mwanaume?
Kimaumbile hakuna ila kisifa upo, ndo maana mimi nikahisi amekusudia hiyo (b).
Hivyo nilivyomfahamu mtoa mada hakukusudia uke na uume ulipo kimaumbile bali ki sifa/mwenendo kutokana na asili ya jinsia zetu.

Thank you ndugu yangu...vipi kitabia hapo?...wengine wanajibu kitaaarabu bila hata kufikiria...
 
kama una dada aliejifungua mmulizzie kama alijifungulia kwenye sura yake alafu utapata jibu.....

Pdiddy mbona mkali? alijifungulia kwenye kikojoleo sio UKE, au kinachofaidiwa...kama UKE ni sehemu ya kujifungulia UUME utakuwa sehemu ya kujifunikia? Look at the opposite of man is woman...here we go again men...
 
Hujafikiria kama jukwaa linavyosema, Great thinkers...Umekurupuka...usinijibu kama wenzio wale wa kina mzee yusuph

Khaaa! Unanshangaza? Jibu swali, wewe ni mwanamke au mwanamme? Kinachokushinda ni nini?

La Mzee Yusuph umekosea, linahusu nini kwenye mada? Au unaanza chokochoko? Nakuomba taadab na usintafute, soma jina. Kama huelewi maana yake ntakufunda.
 
Naweza nikaeleweka vibaya lkn sio nia yangu bandugu, swali langu ni kuhusu maneno haya mawili, mwanamke na mwanaume, hivi uke na ume uko wapi? Sura ndo hutambulisha vyote hivyo au Maumbile? Nitafafanua kama ikihitajika hivyo....

Hapo kwenye bluu, angalia kwenye suruali sketi au skintight. Back to topic, uanamke ua uanamume ni maumbile na majukumu!
 
Khaaa! Unanshangaza? Jibu swali, wewe ni mwanamke au mwanamme? Kinachokushinda ni nini?

La Mzee Yusuph umekosea, linahusu nini kwenye mada? Au unaanza chokochoko? Nakuomba taadab na usintafute, soma jina. Kama huelewi maana yake ntakufunda.

Sina muda na wewe maana utachafua title yangu JF....Unaweza kufunda wewe au unajishaua tu? Ndo neno umeona la kunambia hilo? Fikiria kabla ya kuandika...
 
Hapo kwenye bluu, angalia kwenye suruali sketi au skintight. Back to topic, uanamke ua uanamume ni maumbile na majukumu!

Majukumu gani uanyoyasema mzee? kwani mashoga hawana majukumu kama ya kike? Wanawake pia huvaa suruali vivyo hivyo midume hutinga skintight....
 
Back
Top Bottom