Hamjui ka Ziwa Victoria ni Ziwa linalokufa? (a dying Lake). Archaeology tells us that the Lake coverage was up to parts of Dodoma from where it is now. Archaeological evidences from rock similarities justify that. Ivyo tatizo la kina cha ziwa kupungua ni inevitable kwani it's a process that started long way back.
Financial advisors katika caveats zao kuhusu investment performance wana msemo wao mmoja.
Past performance is no indication of future results. This means, under ceteris paribus, things can change into any direction at any time.
Unless unatuletea kitu kingine zaidi ya rekodi ya kihistoria tu, huwezi kusema kwa ujuzi kwamba Ziwa litakauka.
Ukituambia kwamba precipitation inapungua kutokana na global warming, deforestation na urbanization, kwa hiyo vyanzo viwili vya maji (mvua na mito) vinapunguza maji yanayoingia ziwani mwaka hadi mwaka, nitakuelewa.
Ukiongelea mambo ya geological scale mimi nitakushangaa, kwa sababu you might as well be talking about the eventual parting of the eastern part of Africa from the rest of Africa through continental drift.
You might as well be talking about the extinction of the sun due to the exhaustion of nuclear fusion energy.
Keep things in perspective, like 10/ 100/ 100 years from now.
Otherwise, all closed systems tend to deteriorate and you just can't fight entropy, this is ingrained into all time subjected phenomena by the second law of thermodynamics.