Je, Uganda inachangia kushuka kwa kina Ziwa Victoria?

Kwa mujibu wa report hii; www.internationalrivers.org/files/060208vic.pdf
It should be noted that all Lake Victoria water levels in this report are given in reference to the Jinja gage. Reported water levels are thus not elevations. The 0 m, or datum, of the Jinja gage is 1122.86 m above sea level, such that the actual elevation above sea level of the lake can be computed by adding 1122.86 to the Jinja gage value (WREM, 2005b). For instance, a lake level of 11 m is equal to 11 + 1122.86 = 1133.86 m above sea level.
2. Nalubaale Dam: Turning Lake Victoria into a Reservoir Since 1959, the outflow of Lake Victoria – the second largest freshwater lake in the
world – has been under human control, through the Nalubaale Dam (originally called Owen Falls Dam), located at Jinja, Uganda. The construction of this hydropower dam effectively transformed Lake Victoria from a natural lake to a reservoir, controlling the lake’s outflow to the Victoria Nile (which eventually becomes the White Nile.
Originally, the outflow of Lake Victoria, while driven by inflow from tributaries, rainfall on the lake, and evaporation from the lake, was controlled “hydraulically” by Ripon Falls. Ripon Falls acted as a natural weir and constriction, allowing a certain flow of water to exit the lake depending on the level of water in the lake. The Nalubaale Dam submerged Ripon Falls, which were also excavated in preparation for the Dam, thus assuming hydraulic control over the lake.
Nimejaribu kupitia hapa na kukutana na jambo hili, kwa wataalamu zaidi ama wanaofahamu hapa inamaanisha nini?
 
Nimejaribu kupitia hapa na kukutana na jambo hili, kwa wataalamu zaidi ama wanaofahamu hapa inamaanisha nini?

Hapo juu kuna zungumziwa concepts mbili tofauti, wewe ulichokuwa hujafahamu ni kipi? hebu highlight hapo usipofahamu tuone kaa tunaweza kuwa na manufaa :)
 
Hapo juu kuna zungumziwa concepts mbili tofauti, wewe ulichokuwa hujafahamu ni kipi? hebu highlight hapo usipofahamu tuone kaa tunaweza kuwa na manufaa :)
Kwamba upimaji wa viwango vya maji ndani ya Ziwa Victoria hutolewa Uganda katika Gage ya Jinja, ambako kipimo chake kimechakachuliwa hivyo badala ya kuwa M 0 ya usawa wa bahari basi Gage ya Jinja husoma ni 1,122.86 m juu ya usawa wa bahari, kama kwamba kimo halisi
usawa wa bahari. Kwa uchakachuaji huu wa computed umeongeza 1,122.86 na thamani ya gage Jinja (WREM, 2005b). Kwa mfano, kiwango cha ziwa ya m 11 ni sawa na 11 + 1122.86 ambacho ni sawa na 1,133.86 m juu ya usawa wa bahari.
Ndivyo nilivyoelewa Gaijin.
 
It should be noted that all Lake Victoria water levels in this report are given in reference to the Jinja gage. Reported water levels are thus not elevations. The 0 m, or datum, of the Jinja gage is 1122.86 m above sea level, such that the actual elevation above sea level of the lake can be computed by adding 1122.86 to the Jinja gage value (WREM, 2005b). For instance, a lake level of 11 m is equal to 11 + 1122.86 = 1133.86 m above sea level.

Alichomaanisha ni kuwa hicho Jinja gage tayari kiko katika muinuko wa sawa na mita 1122.86 kutoka usawa wa bahari (lipo katika eneo la muinuko)

Kwa maana hiyo iwapo utataka kujua lake level kulinganisha na usawa wa bahari, itabidi ujumlishe kina cha maji kilichopimwa na Jinja gage pamoja na mita 1122.86 ili upate hesabu kamili ya lake level kutoka usawa wa bahari.
 
Labda hizi takwimu zitasaidia: Inakadiriwa kwamba maji yanayoingia ndani ya ziwa victoria kwa mwaka ni kama ifuatavyo; kutokana na mvua;98 bilion cubic mita, kutokana na mito;16 bilion cubic mita, jumla 114 cubic mita. Maji yanayotoka ziwani umo: kwa unyahufu (evaporation); 93 bilion cubic mita, kwenda mto Nile 21bilioni cubic mita jumla 114 bilion cubic mita. Uwiano huo ukiathiriwa kwa njia yeyote ile au kina cha maji kinaongezeka au kinapungua. Kwa mfano katika miaka ya sitini wakati wa kujenga bwawa la owen kasi ya kutoka kwa maji ziwani kuingia mto Nile ilipunguzwa na hiya ilisababisha mafuriko kiasi kwamba sehemu ya mji wa Bukoba ilimezwa na maji. Vivyo hivyo katika miaka ya hivi karibuni inasemekana Uganda walikuwa na wanatekeleza mradi wa kuongeza uzalishaji wa umeme; mradi huo ulisababisha kuongeza kiasi cha maji cha kutoka ziwani, hii ndiyo ilisababisha kushuka kwa kina cha ziwa. Hata hivyo suala hili limekwisha shughulikiwa na mamlaka husika.
 
Back
Top Bottom