Ruhusa ya kutumia maji ya ziwa Victoria

GOLD BOY

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
286
304
Habari wanajf,

Naomba kueleweshwa inakuaje Tanzania tuombe ruksa ya kutumia maji ya ziwa Victoria ilhali ziwa ni letu?

Misri alishawahi kusema kwa yeyote atakayetumia maji ya ziwa Victoria bila idhini kutoka kwao wako tayari kwa kupigana vita.

Upande wangu kwakweli nimekeleka sana yaani ziwa letu halafu mtu atupangie matumizi eti wametuwekea kiwango cha matumizi kama ziwa ni lao, on my side walipie huduma ya maji ili serikali apate mapato.
 
Habari wanajf, naomba kueleweshwa inakuaje tanzania tuombe ruksa ya kutumia maji ya ziwa victoria ilhali ziwa ni letu? Misri alishawahi kusema kwa yeyote atakae tumia maji ya ziwa victoria bila idhini kutoka kwao wako tayari kwa kupigana vita.
Upande wangu kwakweli nimekeleka sana yaani ziwa letu afu mtu atupangie matumizi et wametuwekea kiwango cha matumizi kama ziwa ni lao, on my side walipie huduma ya maji ili serikali apate mapato
Kwani maji ye ziwa victoria Tanzania tuliyatengeneza sisi?

Hii ni mali ya watu wote duniani.
 
Kwani maji ye ziwa victoria Tanzania tuliyatengeneza sisi?

Hii ni mali ya watu wote duniani.
Ndo watuwekee mipaka ya matumizi kwmb tutumie kiasi fulani na ziwa lipo kwetu, sehemu kubwa za ziwa victoria ipo tz kwaio ni mali ya tanzania
 
Kwani maji ye ziwa victoria Tanzania tuliyatengeneza sisi?

Hii ni mali ya watu wote duniani.
Kama ni mali ya watu wote Duniani si ndo tunayatumia sasa? Kule kwao kuna maeneo ya kiasili nasi tukaseme yasitumike kama sehemu ya utalii? Nyie hampendi kabisa Elimu eeeeh? Basi hata ku reason kidogo ni shida?
 
Back
Top Bottom