babayah67
JF-Expert Member
- Mar 28, 2008
- 493
- 79
Kulingana na data za sasa hivi Tanzania ina watu wapatao milioni 40. Waliojiandikisha kupiga kura ni 20 milioni. Waliopiga kura ni 8 milioni. Waliomchagua JK ni milioni 5. Ukiangalia idadi iliyomchagua JK kwa idadi ya watanzania wote ni kama 12% pekee. Hii 12% ndio inatuchagulia kiongozi wa kuamua nani aishi nani afe. Je Wataalamu wa sheria, wanaharakati na wadau wengine wa masuala ya siasa mnasemaje juu ya hili?? Je hakuna njia wale wengine nje ya 12% wanaweza kuitumia kupinga matokeo????? Naomba kuwakilisha