Samia anafanya kazi kubwa sana ila siyo mtu wa kutaka MASIFA kama Hayati Magufuli. Machache tutakayoyakumbuka ni kama ifuatavyo;
- Kurudisha uhuru wa maoni kwa wananchi
- Kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa
- Kurudisha utawala wa sheria nchini na kufuta kesi za kubambikiza
- Kuajiri wafanyakazi na kuwaongeza mishahara kila mwaka.
Hayo kwa mtazamo wangu ni makubwa kuliko kujenga bwawa la umeme, maana wakati wa Magufuli tulikuwa hunaishi kama WATUMWA nchini mwetu.
All in all hayuko nyuma kwenye ujenzi wa miundombinu kwa kuwa miradi yote iliyoanzishwa na Magufuli ilikuwa imefanyika chini ya 30%. Ndani ya miaka 2 akiwa madarakani miradi mikubwa iko zaidi ya 70% kama ifuatavyo;
- JNHEPP 98%
- Busisi Bridge 75%
- Dodoma Capital 70%
Kuanzisha mradi ni kitu kimoja na kumaliza ni kitu kingine.
Hatuwezi kujua ubora wa Rais Samia mpaka aje atoke madarakani
Standard Gauge Railway imefikia asili Mia ngapi?