Je tutafika? Poleni chan 10

peace2007

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
212
81
Nillikuta Leo kipindi cha JE TUTAFIKA cha chanel 10 kikiendelea na wageni walikuwa ni Mh Ole Sendeka na Makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba. Inaelekea wageni waalikwa walikuwa hawajui kama wanarekodiwa hivyo wao na mwandaaji wa kipindi walikuwa wanabwabwaja tu kumbe kipindi kilikuwa kinarushwa nahisi bila wao kujua na kiliendelea kama dk 10 hivi kabla hawajagundua na kukikatisha. Poleni......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom