Je tutafika kwa mtindo huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je tutafika kwa mtindo huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rajabu kiama, Dec 6, 2011.

 1. Rajabu kiama

  Rajabu kiama Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mchakoto wa katiba mpya kwa upande wangu inatisha kwa kuona viongozi wetu wenye zamana wakirumbana na kukutana vikundi kwa vikundi na raisi kwann wasikutane wote kwa pamoja na la zaidi rais anapendekeza uchaguzi ujao katiba mpya iwe tayari hivi ni rahisi kiasi hicho miaka 2 kwa upande wangu haitoshi ya kenya imechukuwa si chini ya miaka 7 au zaidi isitoshe raisi anatumia hata vitisho rejea kikao cha raisi na wazee Dar-es-salam
   
 2. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,126
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  usijali tutafika!!!
   
Loading...