JE tutafakari hii elimu ya kuunga unga

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,360
6,066
kwa kifupi sana..Elimu maarufu kwa jina "elimu ya kuunga unga". je hii Elimu inakufanya kua msomi au inakufanya kuwa weak ukilinganisha na lle ya moja kwamoja
 
Inakufanya kuwa msomi pia haijalishi umeunga unga kiasi gani mpaka kufanikisha
 
Back
Top Bottom