Je, Tunazifahamu Vyema Nchi za Kinordic?

Je, Tunazifahamu Vyema Nchi za Kinordic?

Licha ya nchi za ulaya Kuwa wanachama WA treaty tofauti lakini kuna free of movement ukiwa raia WA nchi hizo. Na Wana umoja.

Mfano Norway na Ice land hawamo . E U wako Nordic na Schengen l@akini wako kelwenye treaty ya EEA ambayo wako huru. Kufanya kazi popote ulaya.

Pia Switzerland na Liechtenstein hawapo EU lla wamo EEA.

Bulgaria ,Romania na Republic of Ireland hawamo Schengen ila wamo EU. Bulgaria ipo mbioni kujiunga Schengen.

Nyau de adriz
 
Kote nimewapa maksi nzuri ila kwenye suala la China & Urusi sikubaliani nao kabisa.
 
Back
Top Bottom