JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,240
- 5,660
Nchi za Kinordic; Sweden, Norway, Denmark, Finland na Iceland zinajulikana sana miongoni mwa Watanzania kwa sifa chache mashuhuri—kama vile maisha bora ya wananchi wao, elimu ya bure, kiwango kidogo cha rushwa, usawa wa kijinsia na viwango vya juu vya furaha.
Lakini je, tunafahamu zaidi ya hayo? Je, tunajua kuhusu namna nchi hizi zinavyohusiana na mataifa ya Afrika, teknolojia, tamaduni, maendeleo ya kijamii na ushirikiano wa kimataifa?
Nordic wangependa kujua wewe unafahamu nini kuhusu nchi hizi. Tafadhali jaza dodoso hili fupi hapa chini ili kuzisaidia nchi hizo kuelewa jinsi Watanzania wanavyozifahamu👇👇👇
forms.gle
Unaweza kupata dodoso hilo pia kupitia kwenye banner itayokuwa inaonekana hapa jukwaani.

Dodoso Kuhusu Nchi za Nordic
Dodoso hili ni kuhusu nchi za Nordic, likilenga kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu nchi hizo