lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena
kama sio lema arusha ingekuwa kama dubai
Mimi nafikiri ni busara kuisemea nafsi yako mwenyewe. Unaposema wana Arusha unamaanisha nini? kuna kikao chochote cha wana Arusha kilichopitisha maamuzi hayo!? Binafsi ni mwana Arusha lakini sijawahi kusikia, wala kupata tetesi juu ya kikao kilichotoa hayo maamzi na kukutuma kuyaleta jamvini. Kwa mtizamo wangu, siasa zenye usindani mkubwa kama Arusha, mtu kama Lema bado anahitajika. Si rahisi kuona kile alichokifanya, lakini walioko kwenye system wanatambua kuwa mqmbo mengi yanafanyika kwasababu ya uwepo wa huyu unayeona hafai!
kama kigoma vile...
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Umesema wewe ni wa Arusha mara tumekuja wenye Arusha yetu unatuita wanywa viroba!! Tulia dawa ikuingie vizuri. Sisi hatutaki magamba maana akili zenu ndogo sana ona wewe ulivyo mtupu kichwani, nasikia wewe ndio kichwa sana ndio maana wanakutegemea hapa mtandaoniarusha kuna wanywa viroba wengi
mambo gani lema ameifanyia arusha?Act ni mbadala wa chadema arusha
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Umesema wewe ni wa Arusha mara tumekuja wenye Arusha yetu unatuita wanywa viroba!! Tulia dawa ikuingie vizuri. Sisi hatutaki magamba maana akili zenu ndogo sana ona wewe ulivyo mtupu kichwani, nasikia wewe ndio kichwa sana ndio maana wanakutegemea hapa mtandaoni
kama sio lema arusha ingekuwa kama dubai
ha ha kigoma kuna maendeleo kupita arusha
hivi unapozungumzia maendeleo, kwa akili yako unadhani ni nini?
leo umepiga cha wapi? Maana uko ndotoni mapema sana.
Acha kutusemea, wengine hatuendekezi huo ujinga wenu.Kawa baridi kivipi wewe mlaaniwa....???????
Ameshamaliza kazi ya kuisambaratisha CCM Arusha.......Wana-Arusha tumeshakombolewa....Jini CCM limetoweka...
Hongera Lema kwa kulitokomeza Jini CCM Atusha........
Uuuuuuuwi. Lema my, my. Ni pigo ambalo Mungu ameliruhusu ili Arusha wajifunze kutochagua tena wakala kutoka kuzimuNdoto za mchana. Haiitaji uwe na akili kubwa kijua kuwa Lema bado anakubalika sana Arusha. Unapata picha gani kwa uchaguzi wa madiwani Arusha?
Kwani bado ana hamu na 0713...