Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,081
Warembo kama nyie hamuwezi kumbali Lema, hamuendani kabisa, nyie type yenu mrembo mwenzenu Zitto, anayehongwa kirahisi kama bamedi.
Lema akija na zile picha wanampatia maana watu wamemwona anavyoweza kujituma
arusha kuna wanywa viroba wengi
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema
Lema mwenyewe kajishtukia sikuhizi kawa baridi sana.
ACT inakubalika sana arusha ni mkombozi wa wana arusha
lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena
Arusha kama zilivyo sehemu nyingi za Tanzania elimu inatukosesha mengi..
Bado wengi wetu hatujawa na uwezo wa kuchagua kiongozi bora wa kutuwakilisha sisi na matatizo yetu bungeni na pia kusimamia rasilimali tulizonazo kwa manufaa yetu sisi!
Tulifanya kosa kuwavumilia CCM ya Mrema kwa kipindi kirefu sana tukiamini kuna amani na uchumi wa mkoa ni mzuri kupita maelezo,awamu hii tena tumefanya kosa kuchagua kiongozi wa vurugu na maandamano!
Wenye uwezo wa kugundua udhaifu wa Lema wanamchagua kutokana na mapenzi ya Chadema tu na wasio na uwezo kiakili wanamchagua wakidhani mtu anayeingia kwenye ugomvi na serikali kila mara ndo "Mandela" au mkombozi wao!
Kiongozi bora ni zaidi ya kufanya vurugu na maandamano,Lema hanaga hoja nzito zinazomatch na potential ya jiji la Arusha,ana bahati sana wakazi wa Arusha ni "vurugu oriented" ndo maana anaeleweka kwa ujinga anaoufanya na anatumia vurugu kama mtaji wake!
Mimi nasema Lema kwa Arusha HAPANA!
Chadema au chama kingine chochote chenye watu potential zaidi ya Lema tunaomba mtuletee tuwapime!
Hoja over Chama! Kama mtu anafaa hata akitoka CHAUSTA aje Tue.
Lema kapumzike aisee.
wana arusha hatumhitaji tena lema

uchumi wa arusha umeporomoka kwa kasi sana
Unamuza sana Lema ehh??? Alikupa nini aisee.....Kitu kitamu....
Lema mbona mburura tu. Hajui kuandika hats kaproposal....viongozi Wa CDm ni majanga tupu. Arusha ni saw a na hakuna mbunge BT majority ya watu Wa arusha wanafanana na lema
Asilimia kubwa ya wafuasi wa chadema ni wabovu wa hoja na wepesi wa kejeli na matusi..
Yale yale ya kuwasema wadhambi wenzenu wa CCM kwa kuwa wao wanatenda dhambi tofauti na zenu,ila mkumbuke tu dhambi ni dhambi
CCM wameprove failure na chadema hakina uwezo wa kusahihisha makosa yao,kwa sasa bado mkombozi wa Tanzania hajazaliwa,kuna vuguvugu tu la maslahi
Nipe idadi ya wakata mauno kwenye Baikoko, vogodoro na Kibao kata...
Asilimia kubwa ya wafuasi wa chadema ni wabovu wa hoja na wepesi wa kejeli na matusi..
Yale yale ya kuwasema wadhambi wenzenu wa CCM kwa kuwa wao wanatenda dhambi tofauti na zenu,ila mkumbuke tu dhambi ni dhambi
CCM wameprove failure na chadema hakina uwezo wa kusahihisha makosa yao,kwa sasa bado mkombozi wa Tanzania hajazaliwa,kuna vuguvugu tu la maslahi
hivi mleta maendeleo ni lema au ni wewe? Unataka lema aende kulima, kujenga barabara, kujenga hospitali n.k wakati kodi zote mnazihamishia nje ya nchi