Ni wazi kwamba vazi la taifa si kipaumbele kwa sasa ukizingatia matatizo kibao ya msingi yanayolisibu taifa, njaa, mfumuko wa bei, umeme usio na uhakika, ufisadi uliokithiri, rushwa, huduma mbovu za jamii n.k. Linaonekana kuwa ni dili la watu wachache make watu wengi hawako interested.