Je, tunahitaji kuwa na msamaha wa kitaifa au tuendelee kufukua yaliyopita?

Maelezo kuhusiana na hilo yalishatolewa tatizo ni baadhi ya watu wanapenda kusikia Yale yanayofurahisha akili zao.
Mambo kama haya endapo hayawekwi bayana, kusema kuwa mapambano dhidi ya rushwa ni ubatili mtupu.
 
Iliwekwa baya jinsi trilioni 1.5 ilivyo idhinishwa na kutumika?
Itakua kuna muda hukuwepo sayari hii na watu kama nyie ndio mnaopotosha wengine kwa kuendeleza mijadala isiyokuwa na tija.
 
Naam, Mh. Rais keshawasamehe mafisadi na kuwapa nafasi ya kutubu na kurejesha walivyokwapua. Hongera sana Mh. Rais.
 
Back
Top Bottom