Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko.
Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi? Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake.
Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana? Kuwa tusiende kupiga kura?
Kama umegundua toka Lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu.