Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchngu, watu kibao wamechafuliwa kule. Ila siku itakapokuwa zamu yako ama ya ndugu wako wa karibu ndio utajua kuwa ile web haifai.
Avatar yako inajieleza wewe ni mtu wa namna gani.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Hatuwezi kukosa utetezi.wazee,
acheni ufinyu wa mawazo/akili. hayo maadili mnayoyaongelea nyinyi ni ya namna gani ? ina maana upupu wote uliokuwa unawekwa mule ulikuwa unaendana na maadili ? hayo maadili yamekiukwa baada ya kuwekwa JK ? kwa nini sympathy hii iwe kwa JK pekee ? wengine je haiwagusi ? BINAFSI NAPINGA KABISA KITENDO HICHO NA HIVYO VILIVYOTOKEA HAPO AWALI KWA WATU WA KAWAIDA KABISA AMBAO HAWANA MAJINA KTK SERIKALI AU/NA KTK JAMII.
Ingekuwa busara kama huruma hii pia tungeionyesha kwa wale wengine ambao walipatwa kuhusishwa na yaliyohusishwa kwa rais pia, lkn NIMESHANGAZWA MNO tena SANA kuona kwamba huruma hii ipo kwa watu wenye majina tu. Je kufuata maadili NI LAZIMA KUWE KWA WATU WENYE MAJINA/VYEO TU ?
AGAIN, POLE MH. RAIS NA WOTE WALIOWEKWA MULE NDANI BEFORE maana sio kitendo cha kiuungwana, bali ni kuchafuana majina na kutokutendeana haki!!
Na lingine, ina maana yale mapicha machafu ambayo yalikuwa yanatundikwa humu ndani ya jamiiforums pia ni maadili yetu ? au ndo tumeamua kukurupuka ili kuonekana na sisi tumo ? Acheni uzushi wazee ! Hata humu mapicha machafu yalikuwemo na sikusikia yoyote akilalamika, bali watu walikuwa wakijazana kana kwamba ni maadili mema!
JE MNALO HAPO ?
(Utetezi Kwa Wote)
Maadili unayaona leo?
mbona hapa yanabadikwa mapicha machafu machafu hamuoni kama ni kinyume na maadili yatu watz......
Waheshimiwa,
Hii thread zaidi sana ina promote hiyo site na watu wengi zaidi ambao walikuwa hawajaiona hiyo picha wanashawishika kuifuatilia ili waione. Wenzetu walioendelea hawazungumzii kabisa vitu kama hivyo, yako masaiti mengi tu ya ajabu ajabu huko kwenye mtandao. Why visit a site whose content is all negative?? Kumbuka njia ya kummaliza mtu na biashara yake ni kukaa kimya na siyo kushabikia eti saiti fulani ina hiki ina kile. Hiyo site inaendelea kukua maana inapata wateja (visitors) na wenye biashara zao wataweka matangazo pale maana wanajua chances za kuonekana ni kubwa. Say NO to this site by not visiting it and even if you receive a dirty picture by email/sms why forward it or talk about it instead of just deleting it and control your spam settings?
Kwa kiasi kikubwa namlaumu mwanzishaji wa thread hii maana ameamsha awareness ya wana JF wengi kwa site hii. Wengi wameenda kuiangalia picha baada ya kuisoma thread hii, kweli wongo? Isn't that a marketing strategy? Hii site iko huko kwenye cyber space na most likely haijawa registered in Tz, so hakuna sheria ya Tz ya kufanya lolote hapa. Kama ameiregister kwenye nchi liberal isiyokuwa na matatizo na mambo hayo je? Kwani hamjafika nchi kama Holland ambako hivyo mnavyoita vitu vya ajabu vinafanyika mitaani legally? Mkimfungia si ataenda kuiregister huko tu? Kama kweli tuna nia ya dhati ya kuipinga, na tusiitembelee - nukta. Hata mtu akiizungumzia mwabie shutup.
Unajua sisi wenye magazeti hapa Tz, kiongozi fulani akituudhi tunafanya nini - tunagoma kuandika chochote au kutangaza chochote juu yake wala kutaja jina lake kwenye vyombo vyetu vya habari. Doesn't this strategy work? Hali kadhalika mafisadi tukishawatambua tunasusia bidhaa na huduma zao wanazotoa kwenye biashara zao! subutu! wabongo hawana hizo. Wao ndio kwaaaaanza wanajitokeza kwa maelfu kusupport. Sasa unategemea nini in that case?
mimi nasita kuichukulia hii kama ni class struggle, ya kwamba eti raisi ana privacy ya tofauti na binadamu MTz mwingine yeyote. Kelele zoooote hizi ni kwa sababu raisi anafanyiwa shughuli? Hiyo site ina nyingi kweli ya watoto wa masikini waliochorwa kama ambavyo hii inadaiwa. Hakuna mwenye uhakika though kama hii imechorwa au la and that's beside the point. Nachosema ni kwamba if we believe this site is not serving our interest, tusingoje mpaka wenye haki zaidi ya wengine wachorwe ndio tuibuke njozini. Tuanze kuukataa ushenzi wa aina zote tangu jana bila kujali kafanyiwa nani. Mimi naona hili ndio somo kubwa kwetu.
Duh, Everybody is here..........!
911, araway, Baba_Enock, Bonnie1974, Brooklyn, Chakaza, Choka mbaya, cool girl, Domo Kaya, Giroy, Ibrah, jethro, Kalunguyeye, Kang, Kijakazi, Killuminati, KYACHAKICHE, Magehema, Malunde-malundi, mduduwashawasha, Mfamaji, mmasaihalisi, Mongoiwe, Mtindiowaubongo, Mtu B, Mutensa, Nyambala, Pipiro, Robin, shishye, SMU, Tuntu
Oyaaah ...thats too much jamani....hivi serikali imeshindwa fanya kitu? UwT wapo kweli....ile ni kashfa kwa watanzania na raisi oohhh....nililalamika sana waliponiweka kule. Siku hizi ukienda party usikae na kufurahi na wadada utajikuta umepigwa picha na kuwekwa kule. hii kitu haisaidii kitu kabisa..Nsia Swai na hata wale wadada wa IFM maisha yanaendelea....lazima kitu kifanyike kule....na muhusika afikishwe kwa pilato.
Hapana,MOD please fungeni hii thread maana ni kama ina promote cheaply the so called zeutamu....
oyaaah ...thats too much jamani....hivi serikali imeshindwa fanya kitu? Uwt wapo kweli....ile ni kashfa kwa watanzania na raisi oohhh....nililalamika sana waliponiweka kule. Siku hizi ukienda party usikae na kufurahi na wadada utajikuta umepigwa picha na kuwekwa kule. Hii kitu haisaidii kitu kabisa..nsia swai na hata wale wadada wa ifm maisha yanaendelea....lazima kitu kifanyike kule....na muhusika afikishwe kwa pilato.
Hii inanikumbusha suala la shamba la wanyama; kwa kweli ni aibu na kitendo cha kulaaniwa na kupingwa.