Ingekuwa busara kama huruma hii pia tungeionyesha kwa wale wengine ambao walipatwa kuhusishwa na yaliyohusishwa kwa rais pia, lkn NIMESHANGAZWA MNO tena SANA kuona kwamba huruma hii ipo kwa watu wenye majina tu. Je kufuata maadili NI LAZIMA KUWE KWA WATU WENYE MAJINA/VYEO TU ?
Kada Mpinzani,
siyo kwamba watu wenye majina tu,habari zingine zinahusu watu tusiowafahamu na inawezekana ni tabia yao,Kuna wengine wasio na majina ila waliweza kutetewa.Mzee Mwanakijiji aliwatetea wale mabinti wa St. Augustine na hawakuwa na majina mbona hili haukuliona?
Mhe Rais tunammfahamu vyema,na siyo tabia yake,inajenga picha gani kwa vijana watanzania,watoto wetu?Think twice Kada!
Inawesekan tulikosea kwa kutowatetea wengine,ila ni kwamba hatukufanya hivyo sababu hatuwafahamu ila kwa hili la Rais,A person which we know NASEMA HAPANA
.........duh ebwanee hao UWT wapo hivi kweli na hao wanao jiita intelejinsia vp hawajaamuka bado........nimechungulia mmmh hakufai hali ya hewa imechafuka.
nimeipenda hii kada......ndio maana naona huyu gembe mnafiki tu hana lolote....swala sio mwakjj kuwatetea akina nsia, je ww uliwatetea ? YES nilifikiria mara mbili. Je katika historia ya zeutamu, ni hao tu watoto wa st. augustine ndio waliochafuliwa ? inakuwaje na upuuuzi unaoandikwa na magazeti ya shigongo ? iweje serikali inayakalia kimya ? au kwa sababu shigongo ni mjumbe (nadhani) katika umoja wa vijana ccM ?
kama maadili yaanzie hapa hapa nyumbani tz kuanzia ktk haya magazeti !
can you count the cost of destruction done by magazeti ya shigongo ? COUNTLESS, did you speak about ? NO
swala sio mwakjj kuwatetea akina nsia, je ww uliwatetea ? YES nilifikiria mara mbili. Je katika historia ya zeutamu, ni hao tu watoto wa st. augustine ndio waliochafuliwa ? inakuwaje na upuuuzi unaoandikwa na magazeti ya shigongo ? iweje serikali inayakalia kimya ? au kwa sababu shigongo ni mjumbe (nadhani) katika umoja wa vijana ccM ?

sasa sio kama naunga mkono zeutamu alichofanya ni kizuri, hapana, LAKINI mawazo yetu yasiishie tu pale kwa watu maarufu, na usimtumie mwakjj kwa kisingizio kwamba aliwatetea, JE HUYO MWAKJJ ANGEAMUA KUKAA KIMYA ? je wewe UNGEWATETEA ?? lets start making differences within ourselves to make a difference in other people's lives !
ZEUTAMU AKAMATWE NA SHERIA ZIFUATE MKONDO WAKE!
Asante mzazi !
acha zako wewe na hapa unajadili nini?Hata siku moja sitaweza kujadili his private affairs, that will make me cheap like bidhaa za Yeboyebo kutoka China. I hate to be cheap to avoid being labeled "Cheap mind discussses people..."
Kada,
sigongo tulishamjadili hapa,na sijui kwanini sheria ya magazeti bado ni ile ya mwaka 1796.sheria zetu ndiyo bado hazijaweza kuendana na Khali halisi ya mazingira tuliyomo.Hata juzi yule waziri wa nchi aksema nyaraka za siri zinalindwa na sheria ya mwaka 1972?give me a break!
Kuna tatizo kubwa ambalo hatulioni na siye tunaujaribu kutibu dalili tu za ugonjwa wenyewe badala ya kutibu ugonjwa wenyewe!Tunapinga hili ila ni fundisho kwa wao kujadili sheria zilizopo!
Kuhusu kuwateea kina sia,sikuona haja ya kufanya hivyo baada ya Mzee Mwanakijiji kufanya hivyo.Zaidi mie niliunga mkono tu!
unafikiri kwa sheria zetu mnaweza kukamata na kumfungulia mashtaka mmiliki wa web ile? na kwa kosa gani?sigongo tulishamjadili hapa,na sijui kwanini sheria ya magazeti bado ni ile ya mwaka 1796.sheria zetu ndiyo bado hazijaweza kuendana na Khali halisi ya mazingira tuliyomo.Hata juzi yule waziri wa nchi aksema nyaraka za siri zinalindwa na sheria ya mwaka 1972?give me a break!
watu wa UWT hawna wataalam hasa wa mambo ya IT na ni mageni kwao,labda waombe msaada kwa mashirika kama CIA na FBI au KRA!
nimekusoma mjomba.......SAWA hiyo ni vizuri kwa kufahamu kwamba akina nsia hawakutendewa haki, hiyo nakubaliana na wewe ! Je uliendelea tena kuangalia huo mtandao ? je hukuona watu wengine pia wakichafuliwa ? ulichukua hatua gani ? kama uliona wanaonewa mbona hukuchukua hatua yoyote HADI hivi sasa mh. rais kachafuliwa ndo unayaongelea ?
Neways tuyaache hapa mzazi, nimekuelewa, na nadhani utakuwa umenielewa. tuache wengine wachangie michango yao pia as well. Thnks.
nimekusoma mjomba.......
THIS IS A BILLION DOLLAR QUESTION !!
Kwa wale waliokuwepo hapa ukumbini nadhani mwaka wa jana, MNAKUMBUKA ilisemwa kwamba kuna picha ya JK hotelini akifanya nini ?? Mnakumbuka ni akina nani waliosema hayo ? Je mlishangaa kwa nini hawa watu got away with it ? Mbaya zaidi picha "sidhani" kama walikuwa nayo ! Je alitendewa vyema mh. rais pale iliposemekana kulikuwa na picha yake akiwa hotelini na **??
Au ndio kusema watanzania ni wepesi wa kusahau waungwana ?
naikumbuka ile mwanakijiji na mwafrika wa kike walisema wana picha ya namna hio.....ndio maana nasema tuanze sisis wenyewe hapa JF......THIS IS A BILLION DOLLAR QUESTION !!
Kwa wale waliokuwepo hapa ukumbini nadhani mwaka wa jana, MNAKUMBUKA ilisemwa kwamba kuna picha ya JK hotelini akifanya nini ?? Mnakumbuka ni akina nani waliosema hayo ? Je mlishangaa kwa nini hawa watu got away with it ? Mbaya zaidi picha "sidhani" kama walikuwa nayo ! Je alitendewa vyema mh. rais pale iliposemekana kulikuwa na picha yake akiwa hotelini na **??
Its as if am connecting the dots, but the dots connect themselves on this one!
Au ndio kusema watanzania ni wepesi wa kusahau waungwana ?