humu watu wameshasema wametumiana kwenye email........mPM Yo Yo akutumie kutoka kwenye achieve yake!
KAMA NI MSAADA KWAKO SI WEWE tu, kulikuwa na haja gani kutupa hizo taarifa hapa? kila mtu ana HERO wake usifikiri hao unaowaona hivyo kila mtu ana the same perception EBO!!!!!Yoyo,
Ndiyo nimeamua kujikomba kama unavyofikiri,ila ni watu ambao naamini ni masaada kwangu,Naona unaona Wivu sababu ulidhania nitakutafuta wewe kwanza siyo!Go to hell
Mwanakijiji ni mpiganaji mkubwa na nakubaliana naye kwa hoja ambazo ni z masingi na wakati mwingine nampinga na kujikomba kwake siyo dhambi!
Invisible ni kijana ambaye ni mtaalam wa mambo ya teknolojia,na kuwasiliana naye ni kuomba ushirikiano wake katika kutatua hili..
as the matter of the fact wewe ni yoyo,brazemni na bishoo chukua time!
kwa wengine wenye nia njema tuendelee kujadili hapa,It is totally ashame kumjadili Mkuu wa nchi kwa Picha za ovyo sababu anawakilisha sura ya nchi yetu,i have said and Yes am syaainga gain hata kama ameshindwa kutupa tunachotaka ila kwa hili No Way
Wametoa picha ya mheshimiwa raisi kule utamu japo bado inaendelea na mambo yake.
Pia jeshi la polisi linawatafuta wamiliki wa hiyo blogu.
mbona clinton,bush marehemu arafat na wengine walishatolewa sana kwenye mitandao mbalimbali wakiwa wanafanya zaidi ya huyu? haya ni mambo ya kawaida.watanzania waache ushamba waendelee na mada zingine.kama vipi asiyetaka asiangalie.mbona hadija yaseen alipodhalilishwa hamkuchonga? au yeye sio binadamu?
wametoa picha ya mheshimiwa raisi kule utamu japo bado inaendelea na mambo yake.
Pia jeshi la polisi linawatafuta wamiliki wa hiyo blogu.
linda
sasa hivi jeshila polisi linapata support kubwa sanatoka kwa wataalamumbali mbali katika kuhakikisha mambo yanakwendasawa nakuweza kufanikisha kuwatia mbaroni wale wote wanaotumia mtandao huo kudhalilisha wenzao pamoja na mmiliki wa mtandao huo nimeangalia sheria za jimbo la texas ambapo tovuti hiyo ipo nayo hairuhusu picha chafu sasa wakati katika tearms of use ya zeutamu wamesema wanafuata sheria za nchiambapodomain au site hiyo imesajiliwa
wazee,
acheni ufinyu wa mawazo/akili. hayo maadili mnayoyaongelea nyinyi ni ya namna gani ? ina maana upupu wote uliokuwa unawekwa mule ulikuwa unaendana na maadili ? hayo maadili yamekiukwa baada ya kuwekwa JK ? kwa nini sympathy hii iwe kwa JK pekee ? wengine je haiwagusi ? BINAFSI NAPINGA KABISA KITENDO HICHO NA HIVYO VILIVYOTOKEA HAPO AWALI KWA WATU WA KAWAIDA KABISA AMBAO HAWANA MAJINA KTK SERIKALI AU/NA KTK JAMII.
Ingekuwa busara kama huruma hii pia tungeionyesha kwa wale wengine ambao walipatwa kuhusishwa na yaliyohusishwa kwa rais pia, lkn NIMESHANGAZWA MNO tena SANA kuona kwamba huruma hii ipo kwa watu wenye majina tu. Je kufuata maadili NI LAZIMA KUWE KWA WATU WENYE MAJINA/VYEO TU ?
AGAIN, POLE MH. RAIS NA WOTE WALIOWEKWA MULE NDANI BEFORE maana sio kitendo cha kiuungwana, bali ni kuchafuana majina na kutokutendeana haki!!
Na lingine, ina maana yale mapicha machafu ambayo yalikuwa yanatundikwa humu ndani ya jamiiforums pia ni maadili yetu ? au ndo tumeamua kukurupuka ili kuonekana na sisi tumo ? Acheni uzushi wazee ! Hata humu mapicha machafu yalikuwemo na sikusikia yoyote akilalamika, bali watu walikuwa wakijazana kana kwamba ni maadili mema!
JE MNALO HAPO ?
(Utetezi Kwa Wote)
Hatimaye ZeUtamu wamepotea kiaina.
Wanajuuuuuuta kufanya ile kitu.
Waliongeza mimaji kwenye wali ukawa bokoboko.
Afadhali dada zetu Hadija Yaseen na Nsia Swai wanapumua sasa. Waliandamwa sana.
Tuwe na maadili mazee!
ulikuwa huna haja ya kutueleza unafanya kazi wapi ebooooooooooooooooooooooo.Umoja wa Mataifa umeona big deal??????
Duu mau? hukopeshi ndugu? teh teh..
Rwabu- Ukopeshaji wetu ndo umetufanya tufike hapa tulipo.....UFISADI kila kona juu ya nini upole upole tu kila mahali.mtu anakwiba anahamishwa tu sehemu ingine akakwibe zaidi.Bongo tunahitaji DIKTETA.....ukifanya ufisadi KITANZI kama China vile.Unyama unyama tu.
Mimi nafanya UMOJA WA MATAIFA ARUSHA kitengo cha mtandao na mawasiliano,
sijui usalama wa hili taifa uko wapi?
mpaka hawa vijana wanagusa nguzo ya taifa kama Mh Rais?
je twahitaji peleka watu kusoma zaidi ya kuhusu usalama wa mtandao?
ni aidu hata kwa aliweka picha ile ni sawa na yeye mwenyewe kajiweka pale
Ile picha imeungwa sio ya ukweli bali ni elimu ndogo ya kugushi picha.
Kijamii ni kosa kufanya hivyo.
jamani nawasisitiza viongozi jaribuni kuzuia baadhi ya mambo kabla ya kuikuta jamii.
Asante