Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Wajumbe huku Waandishi wa Habari za Michezo nchini nao Wakihongwa ili wampigie Chapuo na kumpamba mno kwa Watu ili Kuaminika nao zaidi na kiukweli alifanikiwa ila Leo wana Simba SC wengi wenye Akili wanajuta kwani hiyo 20 Billion yake hawaijui kaiweka Benki gani kwani kote haionekani.Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.
Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC...
Hizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga...
Ila si Simba sc wamekamilisha transformation?Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga...
Hizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?
Kabisa mkuu hata mimi nashangaa watu kujiongelesha hili swala. Mtu mwenye akili timamu yeyote asingeweza kukataa deal hilo la jamaa hata kama lingekua chini ya hiyo hela aliyoitaja.Sidhani kama kuna shabiki mwenye akili zake Timamu angeweza kuacha za Bakhresa akapigia chapuo za Mo.
Nadhani ni story za vijiweni tu.
Kwasababu hakuna hata chombo cha habari kilicho riport taarifa ya bilioni 45.
Fitna tu za Utopolo. Kila siku kuanzisha nyuzi za Mo wakijifanya ni mashabiki wa Simba ili ionekane Kama Simba ndiyo wanaotoa hayo maneno.Kabisa mkuu hata mimi nashangaa watu kujiongelesha hili swala. Mtu mwenye akili timamu yeyote asingeweza kukataa deal hilo la jamaa hata kama lingekua chini ya hiyo hela aliyoitaja.
Ilikuwa billion 50 na uwanja juuKwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Wajumbe huku Waandishi wa Habari za Michezo nchini nao Wakihongwa ili wampigie Chapuo na kumpamba mno kwa Watu ili Kuaminika nao zaidi na kiukweli alifanikiwa ila Leo wana Simba SC wengi wenye Akili wanajuta kwani hiyo 20 Billion yake hawaijui kaiweka Benki gani kwani kote haionekani.
Nakumbuka Sana hii propaganda alivyoifanya mo, Aliwapaga had pesa Simba , kuelekea kuichukua Simba akatishia akijitoa arudishiwe hela zake, Simba wakanywea ,had akaibeba Simba mazima, KUPITIA waandishi wa habari walimpamba Sana MO , huku Bakhresa akifunikwa aonekane si loloteKwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Wajumbe huku Waandishi wa Habari za Michezo nchini nao Wakihongwa ili wampigie Chapuo na kumpamba mno kwa Watu ili Kuaminika nao zaidi na kiukweli alifanikiwa ila Leo wana Simba SC wengi wenye Akili wanajuta kwani hiyo 20 Billion yake hawaijui kaiweka Benki gani kwani kote haionekani.
Mo alifanya propaganda alishika vyombo vya habari , alikuwa hakauki kwenye vipindi vya MICHEZO, uzuri mo , Sales and marketing anaijuaHizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?
Zile billion 40 alizowapa yanga udhamini ndio unaita bajeti finyu?Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.
Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.
Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.
Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.
Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.
Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.
Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.
Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?
Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?
Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?
Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?
Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.
Unajua kulamba adali wewe,wale wote wananjaa unapewa milioni mia moja tu unatulia kimyaHizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?
Mo kashajimilikisha hisa asilimia 49 sioni nafasi ya Mzee Bakresa kupenya ikizingatiwa biashara zake zinashabihana na za Mudi, Mee yupo smart a ajua akiweza pale atazua migigoro na migongano isiyo na tijaJana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.
Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.
Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.
Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.
Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.
Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.
Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.
Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?
Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?
Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?
Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?
Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Wajumbe huku Waandishi wa Habari za Michezo nchini nao Wakihongwa ili wampigie Chapuo na kumpamba mno kwa Watu ili Kuaminika nao zaidi na kiukweli alifanikiwa ila Leo wana Simba SC wengi wenye Akili wanajuta kwani hiyo 20 Billion yake hawaijui kaiweka Benki gani kwani kote haionekani.
Bora hata wee umeona hilo, mie hata sijamuelewa kabisaaa.Mkulungwa sikuelewi ujue?hapa unamzungumizia mzee Bakhresa au Yusuph Bakheresa au Bakhresa Group of Company?Hebu tulia na ueleze kwa kituo,Ikiwa Huyu Yusuph hapa unamuita "dogo" maana yake ww ni mtu mzima kumshinda yy, sasa imekuaje unashindwa kufafanua jambo dogo kama hili, umepiga stori na Yusuph kuhus mipango yake au mipango ya baba ake au mipango ya kampuni?Hapa unaizungumzia Simba au Azam?
Unaweza mleta mada ni muandishi wa habari ujue!!!!!Nyoosha maelezo
Kwani kwenye zile Tuzo, wanawake waliruhisiwa kukaa karibu kabisa na wanaume? Na kama ndio, story pia zilikuwepo za kutosha?Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.