Je, tuanze safari kwenda Galaxy zingine kimakazi zaidi..?

Mkubwa umetuacha na simanz kubwa
 


New Horizon tayari ilishafika kwenye Pluto tangu mwaka 2015
 
Duh kila kitu kinafanywa kwa dhumuni maalum
Maana mtu hawezi kuanza kufanya utafiti kwenye sayari nyngine ili kujua km kuna uwezekano wa kuishi binadam km hajajua kwamba kuna madhara yanaweza kutokea
Labda.....
Tusubiri tuone!!!
just curiosity! hakuna cha ziada
 
Hahaha
 
Nipo humu mpaka kiama changu kujua Siri za kwanini tupo duniani na Kuna nguvu gani ilituleta duniani na tupo ili tu knowledge Mambo yanayo husu nini?
Unaweza uondoke na bado hujajua, but that's not too bad kwakua hauko pekeako.
Manguli wa sayansi, falsafa, dini na werevu mbalimbali waliondoka bila kujua nn kusudi la uwepo wetu hapa duniani.
Maisha ni jinsi vile unavyo yafanya au unavyo yapatia maana ww.
ikiwa ww unaamini purpose ya uwepo wako ni kusaidia watu basi saidia sana, ikiwa unaamini ww ulikuja kusaidia sayansi na teknolojia iende mbele basi fanya hivyo, ikiwa unaamini purpose ya uwepo wako ni kutafuta maana ya uwepo wako basi tafuta hadi mwisho.
Fanya kitu unaamini kuwa ndiyo purpose yako na tena fanya hicho kitu katika ubora na ukamilifu wa hali ya juu sana
 
Duh kila kitu kinafanywa kwa dhumuni maalum
Maana mtu hawezi kuanza kufanya utafiti kwenye sayari nyngine ili kujua km kuna uwezekano wa kuishi binadam km hajajua kwamba kuna madhara yanaweza kutokea
Labda.....
Tusubiri tuone!!!
Uwezekano unaangaliwa kabla na si baada ya kuangalia madhara, uwezekano wa kuishi MARS, TITAN,IO, n.k. umeangaliwa kabla na si baada
 
hizi hadithi za kufikirika hizi, sayansi haijamuacha mtu salama
Kama unaona mambo ya kufikirika, tambaa.
Siyo kila uzi umwage uharo wako.
Sayansi ni njia moja kati ya njia bora kabisa ambazo zimemsaidia mwanadamu kuelewa mazingira yake na kuweza kuepukana na shida, taaab, majanga na misukosuko mbalimbali.
 
Hawa wanasayansi na hizi habari zao za uchokonozi wa hii dunia kuna siku moto utawawakia
 
Mlikataa uchawi mnaletewa uchawi

Si tungeendelea na wetu tu
 
Read about white holes, anything can get out but not entering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…