Mkuu, sumu za hivyo zipo, usishangae wala kubishi.Sumu? Huyo jamaa alikuwa Na kansa Na Wala usimsingizie Mugabe
Kumbuka ya Bob Marley, same designSumu? Huyo jamaa alikuwa Na kansa Na Wala usimsingizie Mugabe
Kwani kansa ni jamii ya nn[emoji15] na inatengenezwa maabara kama ulikuwa hujui na ndi ugonjwa unaotarajiwa kuchukuwa nafasi ya ukimwi kwa nchi za afrika freemason watakapoleta kinga dhidi ya ukimwi na matibabu yao ifikapo mwaka 2030...[emoji3] [emoji3]Sumu? Huyo jamaa alikuwa Na kansa Na Wala usimsingizie Mugabe
Inawezekana maana hata bob Marley aliwekewa kansa kwenye VIATU aliemuwekea alikiri hivoSumu? Huyo jamaa alikuwa Na kansa Na Wala usimsingizie Mugabe
Radiation poisoning frompolonium-210 looks like the end stage of cancer, Dallas said. Liver and kidney damage ensue, along with extreme nausea and severe headaches. Victims often experience vomiting, diarrhea and hair loss.Hilo linawezekana kabisa kufanywa katika utawala dhalimu wa dikteta uchwara Mugabe.
Sumu? Huyo jamaa alikuwa Na kansa Na Wala usimsingizie Mugabe
Alifanyaje nae???Ilisemekana hata Hugo Chavez
Kuna sumu zinaactivate cancer, chief. Kuna sumu zinaactivate ukurutu. Kama huamini, kamuulize Mwakye embee.Sumu? Huyo jamaa alikuwa Na kansa Na Wala usimsingizie Mugabe